Jamaa alimuonya abiria wake kwamba mzee baba huwa moto unatokea abiria akazingua yaani Israel alimng'ang'ania lakini kilichonishangaza jamaa hadi kaingia ndani ya gari
Kiufupi kabla ya kuchukua initiative yoyote ya uokoaji lazima kusoma mazingira na aina ya tukio ndio maana ukivamiwa watu au hata polisi huwa hawaji mapema maana hujui adui ana nini na mazingira aliko
Mwisho kwenye fire fighting usije jaribu kuokoa kama unahisi moto unaweza kilizidi narudia tulifundishwa kuhisi na kutumia common sense tu.pole kwa hao jamaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.