Dereva wa kubeba watalii (war bus) Arusha anatafuta gari ya kukodisha

Dereva wa kubeba watalii (war bus) Arusha anatafuta gari ya kukodisha

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Nina dereva wangu ambaye ana kazi zake za kupeleka watalii porini ila kwa sasa hana gari. Mwenye gari ambaye anaikodisha tafadhali tuwasiliane.

WhatsApp: 0656388678
 
Siku ngapi anaenda? gari ipo ila Kwa siku naikodisha kwa $ 1,500 kama yuko tayari
 
Nina dereva wangu ambaye ana kazi zake za kupeleka watalii porini ila kwa sasa hana gari. Mwenye gari ambaye anaikodisha tafadhali tuwasiliane.

WhatsApp: 0656388678
Huwezi kuangalia company za kukodisha online?
Car hire
Car rental
 
Back
Top Bottom