Dereva wa kupeleka magari madogo mikoani na mipakani

Dereva wa kupeleka magari madogo mikoani na mipakani

Brightg

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
372
Reaction score
662
Mwenye uhitaji wa Dereva anaye peleka magari madogo mikoani na mipakani nipo kwa ajili hiyo, bei zangu rafiki sana na nafanya kwa uaminifu mkubwa sana.

Napeleka magari yanayotoka bandarini na kuyapeleka kwa wahusika pia napeleka yale ya transit hadi mpakani. Bei zangu ni kama ifuatavyo:

1. Dar- Tunduma sh 230,000
2. DAR-Arusha sh 200,000
3. Dar-Kigoma sh 320,000
4. DAR-Mbeya sh 300,000
5. Arusha-Mwanza sh 220,000
6. Dar - Mwanza sh 250,000

Maeneo mengine ni makubaliano, pia tunaweza kuzungumza kuhusu bei. Napatikana kwa namba 0628642473
 
Tusafiri wote isitoshe mm mcha Mungu sina makuu
Nakushauri acha stori za kusema wewe ni mcha Mungu (hiyo ni hali unayoiona na kuijua wewe mwenyewe) lakini ni ngumu kumshawishi mtu akuamini kwa kusema "mm ni mcha Mungu sina makuu"
 
Nakushauri acha stori za kusema wewe ni mcha Mungu (hiyo ni hali unayoiona na kuijua wewe mwenyewe) lakini ni ngumu kumshawishi mtu akuamini kwa kusema "mm ni mcha Mungu sina makuu"
Lazima ujue una deal au unampa kazi mtu wa aina gani, nina mji nimejenga sio mtu wa kufikiria ya hovyo
 
Back
Top Bottom