Dereva wa Lissu alichukua tahadhari haraka na mapema sana kuomba hifadhi ubelgiji.

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,887
Reaction score
6,657
Ukishaona hali ya usalama haiaminiki ni kuchukua hatua za dharura, haraka na za maksudi.

Usingoje wala kupuuzia. Fanyia kazi hisia zako na kuonywa na watu kama britanicca anavyotoaga alert humu siyo kupuuzia.

Dereva wa Lissu alijionea kifo kwa macho na akachukuwa tahadhari.

Hata boss wetu Max asidhani kumepoa hawa watu wanapenda na kufurahia kuua.
 
Alilengwa heche
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…