fadhili muhala
Senior Member
- Aug 13, 2012
- 137
- 319
Kama jamaa hakuomba maji, hizo habari kwamba alipaki kwenda msikitini, aliomba elfu 15 ni Nani kazieleza? Swala ya asubuhi ni saa kumi na moja na nusu alfajiriLeo asubuhi, dereva wa Lori alipaki Lori eneo hilo, na kwenda kusali msikiti uliopo katika kituo hiko, aliporudi mlinzi alimfata na kumwambia ampe 15000 kama gharam ya parking, wakabishana kwa muda, kutokana na gari zingine kua azikueza kupaki vizur anamwambia ngoja nipaki vizuri, alipo panda katik gari tuu, mlinzi akaend upand wa dirish kulia na kumchapa risasi, dah jamaa hakuomba maji.
Pole kwa familia
Inasikitisha sana mlinzi anaua Dereva kisa elfu 15 ya parking? Mental illness is real ,migambo wawe wanapewa virungu tu wakiwa kwenye malindo maana hao watu wanalipwa laki na nusu kwa mwezi hivyo wanakuwa na stress sana.Leo asubuhi, dereva wa Lori alipaki Lori eneo hilo, na kwenda kusali msikiti uliopo katika kituo hiko, aliporudi mlinzi alimfata na kumwambia ampe 15000 kama gharam ya parking, wakabishana kwa muda, kutokana na gari zingine kua azikueza kupaki vizur anamwambia ngoja nipaki vizuri, alipo panda katik gari tuu, mlinzi akaend upand wa dirish kulia na kumchapa risasi, dah jamaa hakuomba maji.
Pole kwa familia
Utingo wake. Alikua anaskia maongez mana alikua ndan ya gari kushotoKama jamaa hakuomba maji, hizo habari kwamba alipaki kwenda msikitini, aliomba elfu 15 ni Nani kazieleza? Swala ya asubuhi ni saa kumi na moja na nusu alfajiri
Utingo wake. Alikua anaskia maongez mana alikua ndan ya gari kushotoKama jamaa hakuomba maji, hizo habari kwamba alipaki kwenda msikitini, aliomba elfu 15 ni Nani kazieleza? Swala ya asubuhi ni saa kumi na moja na nusu alfajiri
Inaruusiw kuswaliw pia muda uo kama umechelewa,Kama jamaa hakuomba maji, hizo habari kwamba alipaki kwenda msikitini, aliomba elfu 15 ni Nani kazieleza? Swala ya asubuhi ni saa kumi na moja na nusu alfajiri
Maisha ni magumu Sana mtaaniInasikitisha sana mlinzi anaua Dereva kisa elfu 15 ya parking? Mental illness is real ,migambo wawe wanapewa virungu tu wakiwa kwenye malindo maana hao watu wanalipwa laki na nusu kwa mwezi hivyo wanakuwa na stress sana.
Acha tu ,stress za maisha mbaya ,yaani elfu 15 unatoa gobole na kumuua mtu?Maisha ni magumu Sana mtaani
Ni hivyo tu hakuna mengine?Inatafakarisha.Leo asubuhi, dereva wa Lori alipaki Lori eneo hilo, na kwenda kusali msikiti uliopo katika kituo hiko, aliporudi mlinzi alimfata na kumwambia ampe 15000 kama gharam ya parking, wakabishana kwa muda, kutokana na gari zingine kua azikueza kupaki vizur anamwambia ngoja nipaki vizuri, alipo panda katik gari tuu, mlinzi akaend upand wa dirish kulia na kumchapa risasi, dah jamaa hakuomba maji.
Pole kwa familia
Hapo kulikuwa na aidha msongo wa mawazo,majibizano yaliyovuka ustaarabu au visa na visasi.Acha tu ,stress za maisha mbaya ,yaani elfu 15 unatoa gobole na kumuua mtu?
Duh!Leo asubuhi, dereva wa Lori alipaki Lori eneo hilo, na kwenda kusali msikiti uliopo katika kituo hiko, aliporudi mlinzi alimfata na kumwambia ampe 15000 kama gharam ya parking, wakabishana kwa muda, kutokana na gari zingine kua azikueza kupaki vizur anamwambia ngoja nipaki vizuri, alipo panda katik gari tuu, mlinzi akaend upand wa dirish kulia na kumchapa risasi, dah jamaa hakuomba maji.
Pole kwa familia
Kwa mujibu wa shuhuda, haukua na lingine, lakini hata kama lilikuepo bado halijustfy kuuaNi hivyo tu hakuna mengine?Inatafakarisha.
Wajuba wamedata acha kabisa.15,000 tu
Makebo hydroxo Ertugrul Bey mdogoee Tanganian poleni kwa msibaLeo asubuhi, dereva wa Lori alipaki Lori eneo hilo, na kwenda kusali msikiti uliopo katika kituo hiko, aliporudi mlinzi alimfata na kumwambia ampe 15000 kama gharam ya parking, wakabishana kwa muda, kutokana na gari zingine kua azikueza kupaki vizur anamwambia ngoja nipaki vizuri, alipo panda katik gari tuu, mlinzi akaend upand wa dirish kulia na kumchapa risasi, dah jamaa hakuomba maji.
Pole kwa familia
Tungependa kusikia pia kwa upande mwengine. Lazima tu marehemu alimtamkia matusi ya nguoni.Leo asubuhi, dereva wa Lori alipaki Lori eneo hilo, na kwenda kusali msikiti uliopo katika kituo hiko, aliporudi mlinzi alimfata na kumwambia ampe 15000 kama gharam ya parking, wakabishana kwa muda, kutokana na gari zingine kua azikueza kupaki vizur anamwambia ngoja nipaki vizuri, alipo panda katik gari tuu, mlinzi akaend upand wa dirish kulia na kumchapa risasi, dah jamaa hakuomba maji.
Pole kwa familia
iNNALLILAHI WA iNNAILAHI RAJIUUN