Dereva wa lori auwawa na mlinzi wa puma petrol station Morogoro

Dereva wa lori auwawa na mlinzi wa puma petrol station Morogoro

Rungu tena? Can shoot you from a distance.
Ntakua namwangalia ana shot from distance sio na mimi nikiwa na mashine yenye risasi nyingi yeye si kama ana rungu tu mkuu au ujaelewa nini hapo wezi wengi hawawaofii hawa walinzi kwa sababu hawana siraha bora za ulinzi.
 
Kuna jamaa anauza BUTTPLUGS ,😁😁
Huyo jamaa ndio amekuinamisha sasa hivi anakukoboa tope? ndio anataka kukuziba hilo tundu linalo toa harufu?
Ila nyie machoko siku hizi wala hua hamjifichi,unajua mpaka vifaa mnavyo vitumia kwenye uchoko wenu,halafu unakuja kujitongozesha kwangu na kuweka vi emoji vya kujichekesha chekesha,wewe ***** mimi sichezei tope,labda uniletee mamako.
 
Kama jamaa hakuomba maji, hizo habari kwamba alipaki kwenda msikitini, aliomba elfu 15 ni Nani kazieleza? Swala ya asubuhi ni saa kumi na moja na nusu alfajiri
Soma Vizuri. Halafu jiulize maswali
Maelezo
1. walibishana
2, Kwamba parking yake imefanya wengine wasi park alipark vibaya
3. saa 11 alfajiri mjini sio usiku watu wako mtaani tayari, mama ntilie wanywesha waju uji n.k
4. Kituo cha mafuta kipo wazi kuhudumia watu
6. Mlinzi mwenye siraha kisheria hawi peke yake
7. Dereva aweza kuwa na msaidizi wake ( a.k.a tingo)
Haya yote na mengine ulitakiwa ujiuulize, hii ni sawa na kusema dereva amejiua kwa kujipiga risasi kwa hiyo!! kwa maoni yako
 
Leo asubuhi, dereva wa Lori alipaki Lori eneo hilo, na kwenda kusali msikiti uliopo katika kituo hiko, aliporudi mlinzi alimfata na kumwambia ampe 15000 kama gharam ya parking, wakabishana kwa muda, kutokana na gari zingine kua azikueza kupaki vizur anamwambia ngoja nipaki vizuri, alipo panda katik gari tuu, mlinzi akaend upand wa dirish kulia na kumchapa risasi, dah jamaa hakuomba maji.
Pole kwa familia
Mlinzi kisha haribu kesho yake
 
siku hizi hata vichaa wanaruhusiwa kumili bunduki na hayo ndo matokeo yake..Pole kwa familia.
 
Back
Top Bottom