Dereva wa roli anatafuta kazi , yupo dar

Dereva wa roli anatafuta kazi , yupo dar

Multaza Hr

Member
Joined
Jan 10, 2025
Posts
83
Reaction score
182
Habari wakuu.

Mimi ni dereva wa Magari makubwa Kama Scania ,Faw .n.k

Nimekuja hapa kutafuta Ajira au Kazi Kwa wamiliki wa maroli .

Nipo na uzoefu wa kutosha wa jumla miaka 8

Namba yangu ya simu ni +255 749 515 178
 
IMG-20250112-WA0010.jpg
 
Back
Top Bottom