ok.Tukio la kushangaza limetokea katika eneo la Makole, baada ya dereva wa basi la kampuni ya SATCO lenye namba za usajili T308 EME kudaiwa kutishiwa kwa silaha ya moto na mtu ambaye hakufahamika, aliyekuwa akiendesha gari aina ya Land Cruiser lenye namba za usajili T881 ENZ.
Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa basi hilo lilikuwa likitoka katika stendi ya mabasi jijini Dodoma kuelekea mkoani Geita, ambapo lilipofika eneo la Makole, dereva wa Land Cruiser alidaiwa kulipita basi hilo kwa upande, hali iliyosababisha magari hayo kugongana.
Baada ya tukio hilo, mashuhuda wanadai kuwa dereva wa Land Cruiser alishuka akiwa na silaha ya moto inayodaiwa kuwa ni bastola na kumfuata dereva wa basi, akimtaka ashuke kwenye basi hilo na kuingia katika gari aina ya Land Cruiser.
Tukio hilo limezua hofu miongoni mwa Wananchi waliokuwa eneo hilo, huku baadhi yao wakilaani tukio hilo na kuitaka Serikali pamoja na vyombo vya usalama kuchukua hatua za haraka ili kubaini ukweli wa tukio hilo na kuwachukulia hatua wahusika endapo madai hayo yatathibitishwa.
Hata hivyo mara baada ya tukio hilo Jeshi la Polisi lilifika eneo la tukio na kuchukua magari yaliyohusishwa (basi na land cruiser) kwa ajili ya uchunguzi.
Hawa madereva wa mabasi hawana tofauti na maboda-boda, alitakiwa apigwe chuma ya makalio ili uwe mfano kwa makenge wenzake
ENZ Sio namba zake halali hiyo gari Mkuu. Hao ndo walewale.Landcruizer namba ENZ bado jipya sana,ukute alichukulia mkopo na colateral kaweka nyumba yake ya kuishi,kama chuma kiko mfukoni inahitaji moyo sana usikitoe...
Hili siyo la kushangaza. Rais anaendesha nchi kihuni wlio chini yake unadhani watafanya nini? Polisi imegeuka kitendo cha uongo na uhuni. Ila wananchi wanachoniacha hoi ni hiyo sentensi ambayo kila mtanzania ameikariri hata ukimwasha usingizini anaisema ''tunaomba serikali iliangalie hili jambo''. Yaani ''nyani'' hawaoni kabisa uhusiano wa huu uhuni na serikali.Hii nchi siku hizi kila ninayemuona yuko juu ya sheria. Kasoro mimi tu.
Magari ya "ofisi ya rais" hayo ndugu.Landcruizer namba ENZ bado jipya sana,ukute alichukulia mkopo na colateral kaweka nyumba yake ya kuishi,kama chuma kiko mfukoni inahitaji moyo sana usikitoe...
gari ya siri kali iyo babuLandcruizer namba ENZ bado jipya sana,ukute alichukulia mkopo na colateral kaweka nyumba yake ya kuishi,kama chuma kiko mfukoni inahitaji moyo sana usikitoe...
Ditopile angekuwepo angekupinga sana.Hawa madereva wa mabasi hawana tofauti na maboda-boda, alitakiwa apigwe chuma ya makalio ili uwe mfano kwa makenge wenzake
Kwanini alikiwa anamwita waingie garini? Na kwanini kaoiga simu limekuja cruiser jingine kama hilo? Hujiongezi tu kuwa hayo sio ya watu binafsi?Landcruizer namba ENZ bado jipya sana,ukute alichukulia mkopo na colateral kaweka nyumba yake ya kuishi,kama chuma kiko mfukoni inahitaji moyo sana usikitoe...
Tanzania chini ya hawa watu wanne 1. Rais SAMIA, CDF MKUNDA na IGP WAMBURA , DGTIS MOMBO hatuko salama na nchi si salama kwa wananchi na mali zao hawa viongozi pamoja na vyombo vya ulinzi hawajali usalama na uhai wa raia.Tukio la kushangaza limetokea katika eneo la Makole, baada ya dereva wa basi la kampuni ya SATCO lenye namba za usajili T308 EME kudaiwa kutishiwa kwa silaha ya moto na mtu ambaye hakufahamika, aliyekuwa akiendesha gari aina ya Land Cruiser lenye namba za usajili T881 ENZ.
Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa basi hilo lilikuwa likitoka katika stendi ya mabasi jijini Dodoma kuelekea mkoani Geita, ambapo lilipofika eneo la Makole, dereva wa Land Cruiser alidaiwa kulipita basi hilo kwa upande, hali iliyosababisha magari hayo kugongana.
Baada ya tukio hilo, mashuhuda wanadai kuwa dereva wa Land Cruiser alishuka akiwa na silaha ya moto inayodaiwa kuwa ni bastola na kumfuata dereva wa basi, akimtaka ashuke kwenye basi hilo na kuingia katika gari aina ya Land Cruiser.
Tukio hilo limezua hofu miongoni mwa Wananchi waliokuwa eneo hilo, huku baadhi yao wakilaani tukio hilo na kuitaka Serikali pamoja na vyombo vya usalama kuchukua hatua za haraka ili kubaini ukweli wa tukio hilo na kuwachukulia hatua wahusika endapo madai hayo yatathibitishwa.
Hata hivyo mara baada ya tukio hilo Jeshi la Polisi lilifika eneo la tukio na kuchukua magari yaliyohusishwa (basi na land cruiser) kwa ajili ya uchunguzi.
Tanganyika imekuwa hovyo kabisaTukio la kushangaza limetokea katika eneo la Makole, baada ya dereva wa basi la kampuni ya SATCO lenye namba za usajili T308 EME kudaiwa kutishiwa kwa silaha ya moto na mtu ambaye hakufahamika, aliyekuwa akiendesha gari aina ya Land Cruiser lenye namba za usajili T881 ENZ.
Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa basi hilo lilikuwa likitoka katika stendi ya mabasi jijini Dodoma kuelekea mkoani Geita, ambapo lilipofika eneo la Makole, dereva wa Land Cruiser alidaiwa kulipita basi hilo kwa upande, hali iliyosababisha magari hayo kugongana.
Baada ya tukio hilo, mashuhuda wanadai kuwa dereva wa Land Cruiser alishuka akiwa na silaha ya moto inayodaiwa kuwa ni bastola na kumfuata dereva wa basi, akimtaka ashuke kwenye basi hilo na kuingia katika gari aina ya Land Cruiser.
Tukio hilo limezua hofu miongoni mwa Wananchi waliokuwa eneo hilo, huku baadhi yao wakilaani tukio hilo na kuitaka Serikali pamoja na vyombo vya usalama kuchukua hatua za haraka ili kubaini ukweli wa tukio hilo na kuwachukulia hatua wahusika endapo madai hayo yatathibitishwa.
Hata hivyo mara baada ya tukio hilo Jeshi la Polisi lilifika eneo la tukio na kuchukua magari yaliyohusishwa (basi na land cruiser) kwa ajili ya uchunguzi.
kama ni wa hovyo kosa lake ni lipi? Mpaka anyoshewe bastolaMadereva wa mabasi siku hizi wa hovyo sana
USSR
Zuzu wewe..Landcruizer namba ENZ bado jipya sana,ukute alichukulia mkopo na colateral kaweka nyumba yake ya kuishi,kama chuma kiko mfukoni inahitaji moyo sana usikitoe...
Yani hizi gari kwakweli nimezichukia sana kwa sasa yani nikizi9na tu nakosa amaniENZ Sio namba zake halali hiyo gari Mkuu. Hao ndo walewale.
Maneno mengi hayasaidii km huyo mshenzi mmemuacha akaondoka na gari alilokuwa nalo bado lipo..Hapo raia walitakiwa wambonde na kumuua uyo jamaa