Dereva wa SATCO aoneshewa bastola, abiria wamnusuru "walitaka kumchukua"

Wananchi wamefanya kosa sana kuruhusu atoke salama ,huyo ilitakiwa apigwe kibiriti akiwa ndani ya landkuza lake....mambo ya kuonyeshana bastola ni ushamba ,kama anaona bastola dili aende illinois - chicago Gangster Disciple wakamfumue UBONGO.
 

21 September 2026.

​

TOKA MAKTABA :

June 16, 2025

By Ambakucha JF-Expert Member​

​


Shabiby : ukoo wenye 'damu ya biashara ya mabasi', satco express na shabiby line ni 'ndugu wa damu moja'​



Poleni na kazi wadau. Napenda kusema kwa maandishi kuwa, zipo familia hapa Tanzania zimetolewa na karama fulani. Kama ilivyokuwa kwa familia ya Rashidi Ally Matumla kuzaliwa kwa kuwa mabondia.
Kama ilivyokuwa kwa familia ya Sunday Manara kuzaliwa kwa kuwa wacheza mpira.

Kama ilivyo kwa familia ya mfanyabiashara Salimu Faraji Abri (Asasi) kuzaliwa kwa biashara ya magari makubwa (malori).

Kama ilivyo kwa familia ya Ali Hassan Mwinyi kwa kuwa marais.

Ndivyo ilivyo kwa familia ya Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Mabhukut Shabiby ambaye mbali ya kuwa mwanasiasa lakini pia ni mfanyabiashara wa mabasi nchini Tanzania.

Ahmed Shabiby anamiliki mabasi ya Shabiby Line ambayo yanakwenda sehemu mbalimbali za Tanzania.

Sasa, Ahmed ana mdogo wake wa kuzaliwa, anaitwa Said Mabhukut Shabiby ambaye naye anamiliki mabasi ya kisasa yanayoitwa Satco. Satco ni kifupi cha Said Trans Company.

Familia hii, akiwemo mdogo mwingine ambaye anamiliki hoteli kubwa Dodoma ya Midland Hotel, inazidi kujipanua kwenye uwekezaji wa biashara ya mabasi ya kisasa nchini Tanzania.

Hivi karibuni, SATCO imeingiza mabasi 30 aina ya YoTong D 14 huku Shabiby Line naye akiingiza mabasi aina hiyo yenye idadi hiyo ambayo yote ni VVIP.

Satco ambaye amebeba utawala wa njia ya Dodoma-Bariadi hadi Musoma. Na pia Ratco zinafika hadi Kaskazini mwa Tanzania kwa maana ya Bukoba.

Wakati mabasi 30 ya Satco yanatoka Bandarini kwenda Dodoma, mtu mmoja mtandaoni aliandika hivi:
"Jamani jamani mliona jamani hili balaa la Satco jamani maana hili balaa sio la kusimuliwa ni la kujionea mwenyewe maana naona mwamba ameshusha Yutong D14 nyingi kama Shabiby au huyu Satco atakuwa na undugu na Shabiby maana Shabiby alishusha Yutong D14 kama utitiri naona nae Satco kaamua na yeye kujibu mapigo au hawa Satco na Shabiby watakuwa ndugu ni nini maana sio kwa kuigana huku kwa kushusha bus nyingi hivi za Yutong D14."

Ukweli ndiyo huo, Ahmed na Said Mabhukut Shabiby ni ndugu wa damu moja ambao wote 'wamejipata' kwenye biashara ya mabasi nchini Tanzania
 
Hawa madereva wa mabasi hawana tofauti na maboda-boda, alitakiwa apigwe chuma ya makalio ili uwe mfano kwa makenge wenzake
Hiyo chuma kuna siku itapakwa oil vizuri,lile bomba liteleze mkudwuni mwako vizuri.Huo ushamba wenu wa hapa ipo kawaoyeshe malaya zako.
 
Nimeoshuhudia hii ... masaa machache yaliyopita... isingekuwa raia mwamba walikuwa wanaondoka nae, baada ya kuona mambo ysmekuwa magumu, akamuita mwenzake akachomoka ....🤔🤔🤔
Mngewachoma moto hao wahuni.
 
Yani hizi gari kwakweli nimezichukia sana kwa sasa yani nikizi9na tu nakosa amani
Hizo gari ni nadra sana kumilikiwa na watu binafsi, nyingi huwa ni za taasisi. Na ukiiona ina full tint ndo kabisaa kaa nayo mbali.

Kama hiyo hizo namba ukicheki kwenye mfumo wa bima chassis inaanza na ACU hivyo gari halali yenye hizo namba ni Harrier maana ndo zenye chassis code hiyo.
 
Hiyo namba ya land cruiser ni ya nani? Ebu mtuangalizie
 
Hao nao ni mazwazwa tu wangemkamata angepigika kipigo cha mbwa afu angetaja wapi walipo wote waliotekwa
 
Hawa madereva wa mabasi hawana tofauti na maboda-boda, alitakiwa apigwe chuma ya makalio ili uwe mfano kwa makenge wenzake
Umewasahau madereva wa magari ya serikali na maaskari. Wanajiona nchi wanaimiliki wao.
 
Hii nchi inamatobo kila pahali uhuru huu wa kuteka na kuua raia lawama za kwanza kabisa nazipeleka kwenye bunge hili la kishenzi ambalo kwa sasa halisemei kabisa shida za wananchi
 
Hii nchi inamatobo kila pahali uhuru huu wa kuteka na kuua raia lawama za kwanza kabisa nazipeleka kwenye bunge hili la kishenzi ambalo kwa sasa halisemei kabisa shida za wananchi
Tangu uchaguzi wa 2020 "ulipobagazwa" zaidi ya asilimia 90 wakaingia wabunge wa chama kimoja, hata ka_imani kidogo nilikokuwa nako kuhusu huo mhimili kakatoweka.
 
Ikiwa wewe ni Dereva ikitokea kadhia kama iyo Wananchi wakaingia mgogoro wako

Derava kaa kimyaa
usipotoshwe na kelele za
Wananchi
Baada nusu saa Wananchi wote wanasepa ❗️unabaki wewe na Dereva mwenzio
kama Bwana harusi na
Bibi harusi

Muhimu sana kutangaliza pole kwa mwenzio badala kutazama Chombo chako

Ajari zipo zitaendelea kuwepo sawa tu nawewe kujikwaa pekeyako napo kutaendelea

Ushauri wangu kwa Dereva yoyote ukipata Ajari usitazame ni pkpk au gari aina gani ❌️

Wewe fanya halaka kuanza
kumuahi mwenzio
na kumpa pole ✅️
mengine yataendelea kufatana na Sheria
Nani mwenye makosa ni Sheria ndio itaamua sio wewe ❓️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…