Dereva wa Sauli kababatizwa

Dereva wa Sauli kababatizwa

GeoMex

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
5,431
Reaction score
19,913
#KIBAHA: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akimuhoji Dereva wa Basi la Sauli Luxury Namba T418 DWF litokalo Mbeya kuelekea jijini Dar es Salaam, kwa kuvunja sheria za usalama barabarani, leo Jumatano Agosti 4, 2021, Saa 2:17 Usiku, Mjini Kibaha, Mkoani Pwani.


Screenshot_2021-08-04-20-58-14-1.png
Screenshot_2021-08-04-20-58-26-1.png

Cc Bujibuji
 
Kwann mlizi wa waziri nimfupi sana sniper kisogoni hapo hawezi tatua matamanio yake
Walinzi warefu hawazuii sniper bali wanakuwepo waweze kuona mbele na kuzuia watu wanaotaka kufanya stabbing au kuleta fujo tu. Most sniper riffles risasi zake hazipungui nguvu kwa kumpenya mtu mmoja. Miaka ya 2010s kuna sniper nchini Afghanistan kama sio Mcanada ni Mmarekani aliua magaidi wawili kwa risasi moja wakiwa mamia ya mita mbali nae
 
Back
Top Bottom