Dereva wa Sauli kababatizwa

Dereva wa Sauli kababatizwa

Nacho wakubarigi hawa madereva wakidakwa wako very humble ,itakuwa ni technic yao kuwa ukidakwa jifanye fara omba msamaha kama mtoto

Wakikuachia unawasha mwendo na kampuni inaendelea kupiga hela na wateja
 
Huwa mnawapa sifa za kijinga sana hawa madereva. Subiri wawachinje.
100% brother , niliwahi kumpiga mkwara mzito dreva wa abood ya kutoka Mwanza ilikuwa bado kidogo atumwage pale kibaigwa na akatambua kosa lake akatokea abiria mvivu wa kufikiri akamtetea yule dreva Ndio nikajua kwanini ajali za mabasi zinatokea mara kwa mara Tanzania
 
Ingependeza tungejua mkasa mzima ulikuaje...
 
Kwa wale waenda masafa marefu na magari yao binafsi, ni nani huwa anazifuata hizo sheria za barabarani 100%? Ni vile kaotewa tu na mheshimiwa waziri
 
Back
Top Bottom