Dereva wa school bus nafasi 2

Dereva wa school bus nafasi 2

Namche Bazar

Senior Member
Joined
Apr 8, 2019
Posts
116
Reaction score
176
Habari za mchana?

Kuna shule ya watoto wadogo nursery school iliyopo wilayani Muheza Tanga inatafuta madereva 2 wa kuendesha Hiace za shule.

Sifa kubwa awe anajua kuendesha vizuri na kuwa na leseni hai Class C.

Awe na upendo kwa watoto wadogo.

Itapendeza sana endapo atapatakana mkazi wa maeneo ya Muheza,Pongwe au KILAPULA.(au maeneo jirani na hayo).

Mwenye kuhitaji aje PM kwa mawasiliano zaidi na wenye shule.
 
Yupo jamaa,nipe namba yako nimpe maana hatumii JF, ana leseni yenye sifa unayotaka na ni kijana mwenye degree
 
Back
Top Bottom