Kama umesikia na kutoishia kwa maneno bali kwenda nje ya boksi, utatambua kuonyesha haikuwa mara ya kwanza kushukwa na BP na akarudi kuwa sawa baada. Na pia walizoea kufanya maombi. Ila siku hiyo ikawa ndio imefika. Wagonjwa wengi naamini wanapitia haya, kukimbilia hospitali walio na shida ya BP, Diabetes huwa sio kivile hadi.... Kitu ambacho sio kizuri.
Kwa kingine mtu anaweza fikiria kama.. Labda low BP haikuwa shida ambapo imesemwa, je alipewa kitu akala mahala baadae ikafanya kazi yake!!! Hii nimejisemea tu....
Tuombe kila wakati, tuwe tayari.
R.I.E.P. Mkurugenzi