Dereva wa uber / bolt

Dereva wa uber / bolt

Achubwoy

New Member
Joined
Nov 21, 2021
Posts
1
Reaction score
1
Habari naitwa hussein n dereva wa uber /bolt natafut gari ya kazi iwe hesabu au mkataba na uzoef miak 3 sas kam uko nay nichek 0689588127
 
kuna kampuni inaitwa gardaword inahitaji madereva
nenda ukiwa na vyeti vako orginal

1.leseni
2.vyeti vya shule kuanzia darasa la 7 na kuendelea
3.nida au namba ya nida
4. cheti cha kuzaliwa

ofisi zao zipo kwa mwinyi dar es salaam {mikocheni b}
 
Back
Top Bottom