MSATULAMBALI
Senior Member
- Apr 1, 2012
- 187
- 55
Huna kesi ya kujibu na police wamekuonea
Gari yangu nitaipataje pale? Maana wanataka hela...
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kama wamekupeleka mahakamani that's okay, you didn't comment the offense and you are responsble ndio maana ulikwenda police kujua tatizo. Utalipa fine kawaida ili warelease the vehicle na ukiamua kunyooka na police unaweza kwa sababu hawakuwa na sababu kukuweka lock up
Tafuta wakili fasta...mahakamani ni noma...
Kaka kuna acts ambazo an employer anakualiable kwa acts za employee wake..hii kisheria inaitwa vicarious liable..liability yako itakuja iwapo kuna vitu ulikua na uwezo wa kuvicontrol dereva wako asivifanye kabla ya kupata ajali..mfano, kuhakikisha dereva wako yuko sobber b4 ya safari ama gari iko in a gud condition tairi ziko poa na kila kitu,kuhusu kufungwa..somthng lyk false imprisonment inaweza kuaply bt rely kwa writ ya herbius corpus...
Mambo ya mahakamani unaweza jikuta unawekwa ndani...trafiki alieshika jalada anataka hela kwani kanambia mapema sana kupeleka kesi mahakamani...sijajua jalada linachukua muda gani likaamuliwe kisheria mahakamani
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kaka kuna acts ambazo an employer anakualiable kwa acts za employee wake..hii kisheria inaitwa vicarious liable..liability yako itakuja iwapo kuna vitu ulikua na uwezo wa kuvicontrol dereva wako asivifanye kabla ya kupata ajali..mfano, kuhakikisha dereva wako yuko sobber b4 ya safari ama gari iko in a gud condition tairi ziko poa na kila kitu,kuhusu kufungwa..somthng lyk false imprisonment inaweza kuaply bt rely kwa writ ya herbius corpus...
Hiyo mikwara ya mahakamani kutoka kwa trafiki ni kwaida ili wakutishe utoe ushirikiano. Mkuu kesi ya mauaji barabarani haifungi mtu faini ni 20,000/= labda kama gari yako haina vibali muhimu halafu unasababisha ajali barabarani hiyo ni kesi nyingine.Mambo ya mahakamani unaweza jikuta unawekwa ndani...trafiki alieshika jalada anataka hela kwani kanambia mapema sana kupeleka kesi mahakamani...sijajua jalada linachukua muda gani likaamuliwe kisheria mahakamani
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwa kosa lipi, wewe MSATULAMBALI wamekufungulia kesi gani? Hiyo gari ni ya biashara au?..maana isijekuwa wewe ndiye uligonga halafu umebadili maelezo ili kujing'atua!
Kaka kuna acts ambazo an employer anakualiable kwa acts za employee wake..hii kisheria inaitwa vicarious liable..liability yako itakuja iwapo kuna vitu ulikua na uwezo wa kuvicontrol dereva wako asivifanye kabla ya kupata ajali..mfano, kuhakikisha dereva wako yuko sobber b4 ya safari ama gari iko in a gud condition tairi ziko poa na kila kitu,kuhusu kufungwa..somthng lyk false imprisonment inaweza kuaply bt rely kwa writ ya herbius corpus...
Una elimu gani? Hujawahi kusikia tajiri anawajibishwa kwa kosa la mfanyakazi? Ili akwepe kesi shart amlete dereva kwani huwezi ajiri usiyemjuaHuna kesi ya kujibu na police wamekuonea
Gari sio ya biashara ni ya kutembelea tu sasa me nilisafiri nikampa kijana flani awe anampeleka bi mkubwa popote kwenye dili zake, usiku wa tar. 30 inaonekana aliondoka nayo disko sijui baa, asubui saa 11 ndo kizaa zaa kilipotokea...