Dereve teksi aliyeifunga simba aliwahi cheza soka la kulipwa

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Anaitwa Jean Morel poe ni mu ivory coast ana miaka 25 aliwahi kucheza soka la kulipwa belarus, kwa sasa anafanya kazi za u dereva teksi katika jiji la ismailia na jana alikuwa mojawapo ya madereva teksi na wasafisha uwanja waliocheza na simba na akafunga goli

moe.JPG
 
Yaani ana miaka 25 na unasema aliwahi kucheza soka, mbona miaka 25 michache kwa mchezaji kustaafu? Ilikuwaje kijana mdogo hivyo aliyebahatika kucheza hadi Belarusi aache soka Belarusi ajihusishe na udereva Misri?
 
Maisha magumu huwa pia anasafisha uwanja wa team ya ismailia yeye na wenzake waliocheza jana na simba
 
JamiiForums kuna watu wanajua kuunga unga story sana😂😂🤣, hii kwa nini isipelekwe kule kwenye jukwaa la udaku
 
Anaitwa Jean Morel poe ni mu ivory coast ana miaka 25 aliwahi kucheza soka la kulipwa belarus, kwa sasa anafanya kazi za u dereva teksi katika jiji la ismailia na jana alikuwa mojawapo ya madereva teksi na wasafisha uwanja waliocheza na simba na akafunga goli

View attachment 2294906
Wenzetu vikosi mmevitoa wapi waliocheza mechi ya jana? Embu tuletee kikosi kamili cha jana kwa timu zote mbili
 
HAO MADEREVA TEKSI WENGINE NI WAHAMIAJI HARAMU toka libya na west africa hawakutumia majina yao halisi..kwa kifupi simba wanapoteza muda, ni ushamba tu kwenda nje ya nchi pre season
 
Kwa hiyo kwa sasa akili zenu zote zimehamia kwa Ismailia na wachezaji wake! Na siyo tena kwa Sopu na Coastal union yake!!
 
Yaani ana miaka 25 na unasema aliwahi kucheza soka, mbona miaka 25 michache kwa mchezaji kustaafu? Ilikuwaje kijana mdogo hivyo aliyebahatika kucheza hadi Belarusi aache soka Belarusi ajihusishe na udereva Misri?
Mleta mada kaiweka kitaalamu sana ndio maana umeingia kichwakichwa
 
Back
Top Bottom