Dereve teksi aliyeifunga simba aliwahi cheza soka la kulipwa

Yaani ana miaka 25 na unasema aliwahi kucheza soka, mbona miaka 25 michache kwa mchezaji kustaafu? Ilikuwaje kijana mdogo hivyo aliyebahatika kucheza hadi Belarusi aache soka Belarusi ajihusishe na udereva Misri?
 
Maisha magumu huwa pia anasafisha uwanja wa team ya ismailia yeye na wenzake waliocheza jana na simba
 
JamiiForums kuna watu wanajua kuunga unga story sana😂😂🤣, hii kwa nini isipelekwe kule kwenye jukwaa la udaku
 
Wenzetu vikosi mmevitoa wapi waliocheza mechi ya jana? Embu tuletee kikosi kamili cha jana kwa timu zote mbili
 
HAO MADEREVA TEKSI WENGINE NI WAHAMIAJI HARAMU toka libya na west africa hawakutumia majina yao halisi..kwa kifupi simba wanapoteza muda, ni ushamba tu kwenda nje ya nchi pre season
 
Kwa hiyo kwa sasa akili zenu zote zimehamia kwa Ismailia na wachezaji wake! Na siyo tena kwa Sopu na Coastal union yake!!
 
Yaani ana miaka 25 na unasema aliwahi kucheza soka, mbona miaka 25 michache kwa mchezaji kustaafu? Ilikuwaje kijana mdogo hivyo aliyebahatika kucheza hadi Belarusi aache soka Belarusi ajihusishe na udereva Misri?
Mleta mada kaiweka kitaalamu sana ndio maana umeingia kichwakichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…