Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,836
- 2,138
Baada ya kumwonesha kadi nyekundu mchezaji wa Namungo Derick Mukombozi,refa anaonekana akionesha ishara kuwa ameona kwa macho yake, Nahodha wa Namungo amenukuliwa amisema kuwa refa alimwambia kuwa amempa kadi kwa sababu alimpiga Ateba. Udhafu wa Azam ni kuwa hawana camera za kutosha kuonesha angle mbali mbali,lakini kwa kuangalia clip hii inayoonesha Mukombozi akirudisha mkono kwa haraka akiwa karibu na Ateba.Refa anastahili pongezi kwa kuwa makini kwenye huu mchezo