Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,836
- 2,138
baada ya ateba kupigwa na kadi kutoka nini kilifuata?Nilitaka kushangaa, refa hawezi kua kichaa kutoa kadi nyekundu hivi hivi
Siku hiyo atachezesha Tatu Malogo.Huyu refa tunamta kwenye mechi ya Uto, hakuna kumchekea mtu
Ndiyo mlichokuwa mnakitafuta. Mnatuma wachezaji wachochee wachezaji wetu ili wakireact wale umeme wakose mechi muhimu.Mtamtetea sana. Ila usikute hata huyo Atteba mwenyewe hafahamu kama alipigwa kibao! Isipokuwa ni mwamuzi peke yake ndiyo ameona. Maana kama angepigwa kweli kibao, lazima kungetokea purukushani kati ya hao wachezaji wawili!
Ila kwa sababu muamala ulishasoma, mwamuzi hakuwa na namna. Isipokuwa kuuharibu tu mchezo ili kumfurahisha mtoa bahasha.
Ukiondoa mahaba yako kwa timu yako ya simba, utakubaliana na mimi hakukuwepo na tukio lolote lile la Ateba kupigwa na yule mchezaji wa Namungo.Ndiyo mlichokuwa mnakitafuta. Mnatuma wachezaji wachochee wachezaji wetu ili wakireact wale umeme wakose mechi muhimu.
Ukiweka mahaba pembeni utaona reaction ya Ateba kabla hata refa hajapuliza filimbi, halafu eti mnasema hata Ateba ameshangaa ile kadi. Mnatumia nguvu kubwa kufunika uhuni mnaofanya. Kamati ya TFF itaamua, kama siyo kadi halali itafutwa.Ukiondoa mahaba yako kwa timu yako ya simba, utakubaliana na mimi hakukuwepo na tukio lolote lile la Ateba kupigwa na yule mchezaji wa Namungo.
Na ndiyo maana mpaka muda huu kila mtetezi wa lile tukio anaongea la kwake! Jana mlisema yule mchezaji labda amemtukana refa! Mara amemdhalilisha Ateba! Mara amempiga Ateba! Mara Azam wameweka camera chache uwanjani!!
Huu wote ni ushahidi ile kadi nyekundu haikuwa clear red card!
Haya tuambie wew ile kadi nyekundu ilitoka kwa sababu gani?Kuweni na aibu basi
Mnatafuta uongo tu
Au tuseme ilikua damu ya mzee Au basiUkiondoa mahaba yako kwa timu yako ya simba, utakubaliana na mimi hakukuwepo na tukio lolote lile la Ateba kupigwa na yule mchezaji wa Namungo.
Na ndiyo maana mpaka muda huu kila mtetezi wa lile tukio anaongea la kwake! Jana mlisema yule mchezaji labda amemtukana refa! Mara amemdhalilisha Ateba! Mara amempiga Ateba! Mara Azam wameweka camera chache uwanjani!!
Huu wote ni ushahidi ile kadi nyekundu haikuwa clear red card!
Ili Simba ashinde kirahisiHaya tuambie wew ile kadi nyekundu ilitoka kwa sababu gani?
Wewe umefunga mjadala.Huyo dogo wa Namungo namlaumu sana kwani aliwapa mzigo wenziwe baada ya kutolewa wakati walikuwa wamewashika Simba kiaina. Kwanza kabla ya kadi alishamsemea mbovu mwamuzi wakati Erato Nyoni anamlalamikia mwamuzi. Kwa kuwa alishamsemea mbovu mwamuzi alitakiwa awe makini asijihusishe na matukioa tata mchezoni. Kiukweli hicho kibao anachoonekana amepiga Ateba kinaonekana cha kwaida sana hata Ateba mwenyewe hakushtuka na wala hakikuwa na madhara yoyote. Lakini kwa kuwa inaonekana mwamuzi alikuwa anamtafuta akawa ameingia kwenye anga zake kwani sheria ni sheria tu awe Ateba kaumia au hajaumia.