Derick Mukombozi alimpiga Ateba kibao

Kuna watu mishipa ya aibu ilishakatika.
 
Ukiangalia hii video inaonesha mkono wa huyo aliepatiwa red ukimove kutoka uelekeo alio Ateba.

Refa sio mjinga kutoa kadi nyekundu bila kosa.

Kauli ya Manara izingatiwe kipindi hiki maana hakukosea.
 
We umeona ulichokiweka kwanza maana m naona kama mapepo yako pale kawe yakiombewa
 
We umeona ulichokiweka kwanza maana m naona kama mapepo yako pale kawe yakiombewa
Utaona vipi wakati umeangalia kwa jicho la kishabiki?wakati refa anaonesha ishara kuwa hilo tukio kaliona kwa macho yake,Kwa sababu camera za Azam hazioneshi basi ndio iwe hakufanya tukio? akili za wapi hizi?
 
Attachments

  • 20250221_145728.jpg
    89.8 KB · Views: 1
Kibao siku hizi ni sawa na kupewa zawadi?, Kwamba baada ya Ateba kupigwa mbona hakuonesha reaction ya kupigwa na akaendelea na harakati zingine?. Utetezi wakishoger huu...
 
Kibao siku hizi ni sawa na kupewa zawadi?, Kwamba baada ya Ateba kupigwa mbona hakuonesha reaction ya kupigwa na akaendelea na harakati zingine?. Utetezi wakishoger huu...
😅🤣😂Labda ndo Ile methali ya Kofi la mpenzi haliumizi
 
Reactions: Exy
Hata hivyo refa alienda na penati nne na kadi mbili nyekundu hakufikisha malengo yake ili apate mpunga mzuri..
 
Kibao siku hizi ni sawa na kupewa zawadi?, Kwamba baada ya Ateba kupigwa mbona hakuonesha reaction ya kupigwa na akaendelea na harakati zingine?. Utetezi wakishoger huu...
Moderator mpeni huyu haki yake
 
Ni mtu anayeangalia kwa jicho la kishabiki tu ndiye atabisha kuwa Mukombozi hakumpiga Ateba.Hapa inaonekana wazi kqbisa.Utopolo wanatumia tukio hili kuchepusha mjadala wa match fixing wanazofanya na matawi yao
 
Attachments

  • Tuachane na huo udhalilishaji ambao tunashukuru Mungu Camera ziliuficha. Haya na hili kofi la ...mp4
    2.4 MB
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] punguza kulia sasa. Utaishiwa maji mwilini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…