MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Happy Birthday brother!!
EX hajakuwahi MJ1 bana kuwa na amani
DA huwezijua bana maana hawa wako ready utadhani kunguru wa zenj. ukizubaa tu umeliwa.....
HAPPY birthday Hubby.
Happy Birthday brother!!
EX hajakuwahi MJ1 bana kuwa na amani
Aksante My Wii................................................ Derry umesikia? Dada hapendi, usimwuudhiNamuamini my brother hawezi kwenda kwenye birthday ya EX wakati anajua dada mkubwa nipo
Aksante My Wii................................................ Derry umesikia? Dada hapendi, usimwuudhi
Aksante My Wii................................................ Derry umesikia? Dada hapendi, usimwuudhi
Nashukuru dada yangu kwa kuwa na imani ya kutosha na mimi nakuaminia mimi na mj1 hakuna wa kutuachanisha tena wakae mbali kabisa
Hongera sana mkubwa! Sasa leo tunakata keki wapi? Cet garden? Makaburini au Lenana?
Happy Birthday Derimto!
Ilikuwa ni masaa, siku miezi na sasa ni miaka...!
Kumbuka kuwa mtu aliyefanikiwa zaidi ni yule aliyetengeneza marafiki wengi zaidi!
Nami nachukua nafasu hii kukuhakikishia kuwa bado urafiki wetu unazidi kukua kila iitwayo siku!
Hongera sana rafiki!
Poa poa Komredi ngoja niandae tumbo!!Ntakujulisha m2 wangu