Derimto..................Happy Birthday

Derimto..................Happy Birthday

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
10,470
Reaction score
6,580
Ingawa ni miaka mingi imepita na najua watakuwa wamekwishakuchakachua......ila jua tu kuwa tunakupenda, tumekumiss na tunajiuliza ni lini utarudi JF.

Happy Birthday My heartmender!!
MUNGU akuongezee miaka mingi duniani ili JF tuendelee kuwa pamoja nawe.

Wapendwa marafiki wa JF nawakaribisha tuungane pamoja kumtakia kila la kheri Derimto kwa kuzaliwa siku ya leo (Sijui ndo Ex- kaniwahi na Birthday party!!!)
 
Happy Birthday brother!!

EX hajakuwahi MJ1 bana kuwa na amani
 
Ahaaa ahaaa Heartmender ngoja akiingia humu ndani leo.....Happy Birthday Derimto
 
Happy Birthday brother!!

EX hajakuwahi MJ1 bana kuwa na amani

Nashukuru dada yangu kwa kuwa na imani ya kutosha na mimi nakuaminia mimi na mj1 hakuna wa kutuachanisha tena wakae mbali kabisa
 
Namuamini my brother hawezi kwenda kwenye birthday ya EX wakati anajua dada mkubwa nipo
Aksante My Wii................................................ Derry umesikia? Dada hapendi, usimwuudhi
 
Hongera sana mkubwa! Sasa leo tunakata keki wapi? Cet garden? Makaburini au Lenana?
 
Birthday-Gifts.gif


Happy Birthday Derimto!
Ilikuwa ni masaa, siku miezi na sasa ni miaka...!

Kumbuka kuwa mtu aliyefanikiwa zaidi ni yule aliyetengeneza marafiki wengi zaidi!
Nami nachukua nafasu hii kukuhakikishia kuwa bado urafiki wetu unazidi kukua kila iitwayo siku!

Hongera sana rafiki!
 
oooh happy birthday pacha wangu
Chauro,
Kumbe bni pacha wako huyu ndugu?
Sikujua...Mbona wakati wanavalishana pete ya uchumba na MJ1 juzi kati hukuwepo?
Au ulikuwa kijiji cha Samunge kupata hii maneno kwa picha?

!
 
PJ huyu pacha tumeona jua pamoja,toka tutokee kwenye huu mwanga miaka kumi na mbili tu imepita

Chauro,
Kumbe bni pacha wako huyu ndugu?
Sikujua...Mbona wakati wanavalishana pete ya uchumba na MJ1 juzi kati hukuwepo?
Au ulikuwa kijiji cha Samunge kupata hii maneno kwa picha?

!
 
Birthday-Gifts.gif


Happy Birthday Derimto!
Ilikuwa ni masaa, siku miezi na sasa ni miaka...!

Kumbuka kuwa mtu aliyefanikiwa zaidi ni yule aliyetengeneza marafiki wengi zaidi!
Nami nachukua nafasu hii kukuhakikishia kuwa bado urafiki wetu unazidi kukua kila iitwayo siku!

Hongera sana rafiki!

Kaka PJ nashukuru kwa hili box ngoja nitafute uchochoro nilifungue nijisevie kimtindo baada ya wageni kuondoka
 
Happy Birthday Derimto!!
Usiwe unapotea sana bwana, hadi nilitaka kukusahau jamani!!!
Au uwe unaaga basi, kama umeenda Loliondo.
 
hongera sana derimto....................
 
Back
Top Bottom