Derna-Libya waliwahi kuikataa sharia kwa ajili ya demokrasia

Derna-Libya waliwahi kuikataa sharia kwa ajili ya demokrasia

Jana wakazi hao wamerudi tena msikiti maarufu Swahaba na kufanya maandamano ya kupinga serikali ya mji huo ambapo majengo kadhaa ya serikali pamoja na nyumba ya meyea ya mji huo vilichomwa kwa moto.
Katika hali ya mshangao mafuriko yaliyouwa maelfu ya watu yavunja majengo na kuyazoa kwenda baharini.Yaliuwacha msikiti huo ukiwa salama.Wakazi wa Derna inaonekana wamepata mazingatio ndio maandamano maandamano yao wameyaanzia msikitini hapo.
 
Back
Top Bottom