Dert money

Dert money

why the gvt clean up the deart money into legal cash to ciculation?

Mkuu kajipange upya maana tangu kwenye title mpaka kwenye content hapaeleweki, "Muswada huu urudishwe kwa wananchi kisha uje usomwe kwa mara ya kwanza!!"
 
There is no money that is dirt. How then would we spend it if it were dirt?
 
Dirty=Derrty(kimarekani) hapo angeandika Derrty Money(Fedha chafu)-Money Laundering(kuitakatisha fedha chafu),fedha zinazousiana na ufisadi,madawa ya kulevya,misaada ya ma-terrorist,fedha kutoka kwenye ma-gang(blood),fedha za zurumati(wizi,utapeli) zote ni derrty(dirty) money::::
 
Kama huyu atakuwa yupo yunivasite, basi ni janga la kimataifa
 
nitanunuaje maua wakati najua utaniletea! Lol.

Kweli ilikuwa nikuletee, sasa unajua tena mambo ya kutafuta hela zilizo safi( dert money hazitakiwi siku ya valentino), bosi wangu jana amenikurupusha safari ya nje ya nchi, nilidhani nitakaa siku moja, kumbe mpaka valentino nitakuwa Moza.
 
mmmmmmmh! Husninyö nishakimbiwa. Lol. Haya safari njema. Urudi na clean money.
 
Hela za Moza ni clean kabisa (mifisadi hapa sio mingi),tatizo exchange rate yake ndio mbaya,maduka ya bongo hayapokei. Labda nikibahatisha Rand hapa Kabola basa, naweza kuja nazo, sababu hizi za GUE Bness hazitambi kabisa hapo home.
 
ooh, hapo kuna matumaini. Ngoja niandae shopping list yangu kabisa. Nifatilie na exchange rate nijue rand ngapi zinanitosha. Lol.
 
Hela safi zitatuumiza,
Nimepata lift ya kaburu toka hapa Moza, akasema tupitie Victoria falls kisha tupitie Nakonde. Kuingia zambia tumekutana na kimbembe, kumbe Zambia wamebeba kombe gani sijui. Nchi nzima ni mapumziko, halafu kuna hii sikukuu ya Valentino. Kwa hiyo nimenasa hapa Old Nakonde, uhamiaji hawafanyi kazi. Ila kuna maji ya mende ya bure barabara nzima. Unakunywa hapo hapo bila kubeba.
 
duh! Pole sana, i hope mambo yataenda vizuri tu.
 
Back
Top Bottom