Desa la bure (wanaume only)

Desa la bure (wanaume only)

Hiyo ni nzuri ndugu lakini kwa mwanaume wa kibongo anaona ni kujishusha uanaume wake akifanya hayo,wao wanajua mapenzi ya kulipia tu halafu apewe ngono.
 
Daa ur smhw right bt mademu wa kibongo si atakimbia hawajazoa hlo!
 
heading ya hilo desa ni 'how to make love WITH a woman', so nilitegemea mwanamke naye afanye jitihada fulani ili kufanikisha zoezi - but reading through the mentioned steps, inaonekana mwanamke yeye amepozi kama gogo tu
 
kwa leo muda ni mdogo na macngira mengi hizo requirement ucpati.....next option
 
Sasa huo mda wa kuyafanya yote hayo unatoka wapi?
 
Mhhhhhhhh! aisee kwa sisi wenye vigonera tutaweza kweli manjonjo yote hayo? Labda kama ni 'mzunguko' wa pili au wa tatu aisee.
 
Hili desa lipo deep in shalow sana.................
 
Mbona desa la kawaida sana hapa sijaona cha kudesa.....
 
Asante kwa desa,
At least nime-gain kitu,
Ntafutie desa la cha fasta!
 
Mh...si mchezo....ila bila kusamarize hapa....unaweza ukachemka😛oa
 
Back
Top Bottom