Hiyo ni nzuri ndugu lakini kwa mwanaume wa kibongo anaona ni kujishusha uanaume wake akifanya hayo,wao wanajua mapenzi ya kulipia tu halafu apewe ngono.
heading ya hilo desa ni 'how to make love WITH a woman', so nilitegemea mwanamke naye afanye jitihada fulani ili kufanikisha zoezi - but reading through the mentioned steps, inaonekana mwanamke yeye amepozi kama gogo tu