Desa la bure (wanaume only)

Kwa maoni ya wengi , itabidi nilete desa lingine.
 
Hilo desa zuri tu kulisoma, application yake ndo kazi ipo
 
Sasa huku mgombani kwetu ufanye hayo yote inakuwa ngumu .wakati anakuambia fanya haraka nianze kwanza ukitaka kumuandaa atakukimbia .
 
Heeeh!Hv kumbe kuna darasa la mapenzi....Aise hizo hatua tano wachaga haziwafai kabisa kwani zitawapotezea muda,sababu huwa wanafanya fasta ili wawahi biashara zao...Ila kwa wazaramo hapo ni pake.
 
Unalipia nyanya tena unataka kuweka mazingira mazuri ya kupeana pesa na muuzaji, na wakati huo anataka umalize illi nao wenzako waendelee. Hayo mazingira yanafaa kwa mtu unayetaka kumuoa lakini wetu wa uswahilini njiani utaweka mshumaa wapi na mko kwenye majani/kichaka?
 

Natoa MTIZAMO WANGU:-

1. Hili desa umelitoa katika mazingira ambayo yanamfaa mtu mwenye uwezo - muziki, mshumaa, giza nk
2. Sisi wa vijijini ambao tunaenda na nyumba ndogo zetu maporini - haiwezi kutusaidia manake huwezi zima taa, mshumaa nk.Jua linawaka au Mbalamwezi unawaka na hatuna uwezo nao wa kuizima lakini pia hatuna muda wote huo wa romance manake unaweza kubambwa na wapita njia etc
3. Desa lako lina assume kuwa kufanya mapenzi kuna steps ambazo lazima uzifuate mf. utatoaka 1, 2,3,... SIKWELI. Mbona haujataja kuvua chupi, suruali, kuvaa condom nk? Mbona haujaonesha kama nataka ku-rewind bao la tatu, nne, tano nk nafanyaje?

ONYO: Mambo ya kuchukua vitu katika internet na kutuletea humu muache, tenegeneza kitu kinachoweza kuakisi mazingira halisi. Internet iweinakusaidia katika kukuongeza maarifa lakini siyo kuchukua kitu kama kilivyo na kuwaletea watu humu as if wote wanakaa ulaya. Ndiyo maana wanafunzi wetu nao sikuhizi hawawezi kufanya analysis ya mambo manake they assume that @thing ktk internet is good for their academic consumtions.

Kwaheri kwa sasa.
 
Acha ubabe bwana, kitu kimetulia hiki hata porini huko. Ila nakushauri usiendekeze nyumba ndogo.

NB: Internet ipo kukusaidia.
 
big up.:-d
 
Hiyo kwa wazungu tu , kwa siye waafrica ni mkishaingia ni kuanza kupambana huo mziki mnausikiliza wakati mnapambana tena unakuwa wa bolingo ukiendana na mapigo ya mpambano......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…