Desabre kujiunga Simba, wanavutana kuhusu mshahara

Kwa hatua waliyofikia Simba ni nzuri kwa ajili ya kutengeneza CV ya kocha yeyote.

Kama vipi Simba imrejeshe Uchebe japo tatizo lake alijiharibia alipoondoka alisema baadhi ya viongozi hawana elimu na kuishia kuwakera.
Uchebe ni fala Sana huwa anaifungua Sana timu, ndio maana tulikuwa tunafungwa goli nyingi last quarter final & group stage sitamani hata kumsikia
 
Weka hiyo clip akitamka
 
Mshahara huo kwa hela za mirathi itakuwa ngumu sana
 
Mo anasema simba haishindwi kutoa offer nzuri[emoji1787]

Ghabachori ni mchungu na hela yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…