Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Mimi ni miongoni descendants of Songwe River wenda kuna watu wengine humu na share nao same Ancestors.
Nimekuwa inspired na jamii za Asia katika kutafuta asili yangu finally nimeweza kuipata.
Nina miaka miwili sasa nimekuwa nikizuru mto Songwe na nafikiri utakuwa utaratibu wangu wa kila mwaka kwa muda nitakao ishi hapa duniani na uwezo nitakao kuwa nao wa kufika maeneo hayo.
Descendants wote wa Songwe River nawakaribisha hapa kwenye huu uzi na wote wenye shauku ya kujua walipotoka chimbuko la damu zao.
Kuna raha kubwa kujua Ancestors wako walipotoka toka.
Hapa simaanishi huyu babu yako unaemfahamu hapana bali babu wa babu yako.
Nina taka kuwa na tarehe maalumu na mwezi maalumu kwa kila mwaka kuzuru pale damu yangu ilipo anzia kwa ajili ya kufanya shughuli mbalimbali za ukumbusho kwa Ancestors wangu wote.
And of course nikifa mwili wangu unapaswa kuchomwa moto na majivu kumwagwa pale ilipo asili mto Songwe hii inafahamika kabisa.