Describe and explain anything about HIm/HEr

Ooooh!! Ngoja niangalie maendeleo utakuwa wa kwanza kupata taarifa, ila sasa hivi nataka niwe nao wa4 kwa pamoja maana nimegundua kuwa na mmoja ni matumizi mabaya ya rasilimali watu, proposal iko kwa MO11 akiipitisha nitakupa taarifa.
Wewe haunifai.. ni bora niende jiji la viwonder nikatafute mrembo wa kunibashite. Yaani niwe mpenzi mtazamaji kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…