Njema kabisa shemeji yangu.Shemeji za muda huu....
Umeelewa nini mkwe?Ha ha ha ha nshaelewa mkwe ubarikiwe sana
List ngoja nikitulia nitaiandika. Je umeruhusu top how many?Sijambo..
Nimefurahi kukuona nikajua lazima umekuja na list
Umezeeka huwez kutofautisha majinaUmeelewa nini mkwe?
mchango wa nn?Mkwe njoo uchukue kadi yako ya mchango tafadhali.
Ooooh!! Basi ngoja niiandae, naruhusiwa na kuwaweka maex wangu wote? Maana wengine hata siwakumbuki.Wew utakayoitaka nitafanyaje sasa na ni wewe na unajua tena.
Haya tu sawa.
Umezeeka huwez kutofautisha majina
Tumuulize Heaven SentBenny sijui kapotelea wapi aseeh.
Ha ha ha ha anaesema huo uongo sasa nan?Kwakweli maana haya majina yanafanana hadi uongo.
mchango wa nn?
Hayo majina, kwani we unawafahamu?Ha ha ha ha anaesema huo uongo sasa nan?
Hivi kumbe viwanja siku hz kuna kadi enheeeWa kununua kiwanja kule koromije.
Sasa kama maex wenyewe wote siwakumbuki hao 1night stand tawakumbuka kweli shemeji!!Hata wale 1 stand night.
Simjui hata mmoja labda dota anawajuaHayo majina, kwani we unawafahamu?
Ndio shemeji, bora tu tuchangiane kwenye vitu vya msingi.Hivi kumbe viwanja siku hz kuna kadi enheee