Describe and explain anything about HIm/HEr

Describe and explain anything about HIm/HEr

Hahahahahaa.... hahahahaha DAh!!!

Swahiba ushaniharibia move kwa michuchu ujue....

Ila nshakustukia unataka kututoa kwenye sakata la vyeti na bastola...

Hahahaha
Swahiba katiba ya humu si ilisha state wewe unabaki na wakongwe mimi nabaki na hawa wapya.


Bastola na vyeti vipo pale pale huku tunapunga upepo halafu tu narudi.
 
Hahahaha
Swahiba katiba ya humu si ilisha state wewe unabaki na wakongwe mimi nabaki na hawa wapya.


Bastola na vyeti vipo pale pale huku tunapunga upepo halafu tu narudi.
Wakongwe wameshaingia mitini. Mambo ya menopozi si unayajua?? Tubanane hapahapa kwa michuchuz.. si unajua kizuri mtu hula na nduguye???
 
I am new here but walioniinspire Ni:
Stunter:napenda his comments anajipanga ndio anatype.
Ukhty: yuko vzur ktk majibu ya ghafla inaonyesha ana akili nzr huyu mtu km mm.
Else or otherwise I love you all and naipenda jf
Loooh mkuu umeniacha nicheke kwa sauti wallah
 
Dahhhhhhhhhhh
I will be back Smart911 ngoja kwanza niende kwenye kioo



Asante sana Smart911


Watu wataniroga mwaka huu hakyamungu misifa yote hii dahhhhhhhhhhh
I don't know what to say yani
I'm speechless Super dear
Nina furaha mpaka najisikia kulia mwenzio
Let me declare this thing here

I love you Smart911
Love you for real
Koh koh koh!!
Mate kumbe ndio maana.
 
Back
Top Bottom