Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hata nami nashangaa kwa nini usingizi umekata.naweza kumwambia babu, ni kitu gani kimekuamsha mapema namna hii??
Nadhani mazoea ya kuwahi kuamka kila siku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata nami nashangaa kwa nini usingizi umekata.naweza kumwambia babu, ni kitu gani kimekuamsha mapema namna hii??
Na ulivoamka tu, fasta ukawahi JF kumsalimia babu yako.Hata nami nashangaa kwa nini usingizi umekata.
Nadhani mazoea ya kuwahi kuamka kila siku.
Umejuaje? Mana ndivyo nilivyo wala hujakoseaNa ulivoamka tu, fasta ukawahi JF kumsalimia babu yako.
Binti una busara sana.
Umeshasahau mimi ni mzee wa busara??Umejuaje? Mana ndivyo nilivyo wala hujakosea
Hahaa babu mbona umetuchoka hivyoMkuu Daby (sijui kwanini nimekuita mkuu)
Naomba ruhusa yako unipe wiki moja nikuletee wasifu wa wafuatao ambao nawajua kimwili na kiroho.
geniveros (mama wa watoto wangu)
Honey Faith (mama lishe, mwizi wa vitumbua)
Sakayo (Sabuni ya roho yangu)
emmyta (mwimba taarab wa TOT)
espy (Mkeketaji na Ngariba wa kujitolea)
Heaven on Earth (Mahabuba nyongo mkalia ini)
Heaven Sent (Mpiga chabo wa gesti za uswazi)
Numbisa (Mhariri wa gazeti la Ijumaa kitengo cha Shilawadu)
miss chagga (sista anitafutiaye michepuko)
Shunie (Nyumba ndogo wa Mod Jukwaa la wakubwa)
Evelyn Salt (Mfundaji wa kitchen party)
Sky Eclat (Daktari wa Faru John)
CHIKIRA MTABARI (mdokozi wa futari)
Nikimaliza kuwadadavua hawa, ntaomba idhini yako niwadadavue wale tunaopigana vikumbo kumendea watajwa hapo juu, bila kuzingatia itifaki.
Ngoja kwanza na huyu atumbuliwe ili hii muvie iishe tuanze na ya kwetuNimejikuta nacheka kwenye Jumuiya mpaka glasi yangu ya Konyagi imedondoka....
Swahiba ule waraka wetu tuutoe baada ya sakata la Bastola au tusubirie mpaka Mwigulu atumbuliwe??
Mbona wewe umekesha humu huuulizwinaweza kumwambia babu, ni kitu gani kimekuamsha mapema namna hii??
Ha ha ha ha bora aiseee maana kuna viumbe nilikuwa siwaelewMkuu tulia shem, starring nimerudi.
Khaaaaaaaa[emoji27] [emoji27]Alirudi alafu kuna jaama alikuja kumchukua wakaenda dinner ila hajarudi hadi sasa, nadhani watakuwa wamepitia kwenye mkesha.
MmmmmmmmmmmmmmmhAsante mkwe kwa taarifa na ruhusa uliyompa bintiyo kwa kwel maana mweny ewe Leo Nina vikao vya of is mpka muda huu
Khaaaaaaaa[emoji27] [emoji27]
Kashamwaga mboga toka Jana tena nmeaambiwa nije nifate kad ya mchangoMmmmmmmmmmmmmmmh
Ya kulia ukishalewamichezo ipi hiyo
Hahaa umenikumbusha kitu nimechekajee. Siku ya kwanza geniveros amejiunga tu jf, akaja straight celebrities kule yupo "jamani naomba mnipokee na mimi ni mmbea mwenzenu", tulichekaa. Kumbe alikuwa anakula tu ubuyu as a guest akaona isiwe tabu akajiungageniveros huyu mtu hata sielew ilianzaje ila ghafla tukajikuta ni.marafik wa Karibu sana ki ukwel kwa jinsi nnavyomuona atakua mama fulan hv mwenye heshima zake ambae busara imejaa ila tu kwa story za celebrities tu namuona kama.wale ndugu zangu wa tandale kwa bi nyau maana humkos kwenye post za wema diamond na bongo muvie yote ila naamin Ana roho nzur tu
emmyta kwanza kwa maono yangu binti fulan muoga hv kila nikiangalia avatar naona kabisa mshika Dini ila muoga fulan wa ku comment ila naamin kuna maeneo ukimgusa bas utaona upande wake wa pili MMU Ndio jukwaa lake la kujiskia
Asprin baba la baba mtu mzima fulan ila ni wale wazee vijana huwez kumpiga fix kirahis na kizembe zembe akakubal yuko Vizur kwa totoz na anamain yeye kama wine anavyozeeka ndio anavyozid kuwa McHaro
Shunie tya02 Daby eddy muhando fakalava Raimundo espy nikipewa nafas ya upendleo ntawaelezea vizur
Nashangaa tu hapa ujueNatumai umemsikia vzur mzaz wako
Nani tena anaolewa/kuoa?Kashamwaga mboga toka Jana tena nmeaambiwa nije nifate kad ya mchango
Hahaa umenikumbusha kitu nimechekajee. Siku ya kwanza geniveros amejiunga tu jf, akaja straight celebrities kule yupo "jamani naomba mnipokee na mimi ni mmbea mwenzenu", tulichekaa. Kumbe alikuwa anakula tu ubuyu as a guest akaona isiwe tabu akajiunga
Nashangaa tu hapa ujue
Nani tena anaolewa/kuoa?
Haha afu si born town yule, basi akupe story za wadada wa mjini wa enzi hizo; tuliokuja town na malorry ya kabichi tunatoaga tu machoHa ha ha kumbe sjamkosea enhee mwanamke anapenda lile jukwaa si mchezo maana kwa umbea wa mjin anamkarbia warumi