Describe and explain anything about HIm/HEr

Describe and explain anything about HIm/HEr

Mkuu Daby (sijui kwanini nimekuita mkuu)

Naomba ruhusa yako unipe wiki moja nikuletee wasifu wa wafuatao ambao nawajua kimwili na kiroho.

geniveros (mama wa watoto wangu)
Honey Faith (mama lishe, mwizi wa vitumbua)
Sakayo (Sabuni ya roho yangu)
emmyta (mwimba taarab wa TOT)
espy (Mkeketaji na Ngariba wa kujitolea)
Heaven on Earth (Mahabuba nyongo mkalia ini)
Heaven Sent (Mpiga chabo wa gesti za uswazi)
Numbisa (Mhariri wa gazeti la Ijumaa kitengo cha Shilawadu)
miss chagga (sista anitafutiaye michepuko)
Shunie (Nyumba ndogo wa Mod Jukwaa la wakubwa)
Evelyn Salt (Mfundaji wa kitchen party)
Sky Eclat (Daktari wa Faru John)
CHIKIRA MTABARI (mdokozi wa futari)

Nikimaliza kuwadadavua hawa, ntaomba idhini yako niwadadavue wale tunaopigana vikumbo kumendea watajwa hapo juu, bila kuzingatia itifaki.
Hahaa babu mbona umetuchoka hivyo
 
Nimejikuta nacheka kwenye Jumuiya mpaka glasi yangu ya Konyagi imedondoka....

Swahiba ule waraka wetu tuutoe baada ya sakata la Bastola au tusubirie mpaka Mwigulu atumbuliwe??
Ngoja kwanza na huyu atumbuliwe ili hii muvie iishe tuanze na ya kwetu
 
She has:
1. A long straight beautiful neck with little rings round her.
2. She has sweet beautiful shy calling eyes.
3. She has small sweet lips.
4. She has a thin waist but thick sexy curve hips.
5. When walks she moves her waist such that she course vibrations on her behind..
6. She is very shy when speaking and cant look straight to your eyes until you hold her face up and look into her then she looks at you with shy.
7. She is very charm when you push her to her limits.
8. When you hold her tight she never want to let you go.
9. She likes to be open when she is in love...
10. She is very sensitive... She cries when you heart her. But she is easy to say sorry and admit her mistakes when she is wrong.
11. She is good in...


Cc: mahondaw
 
geniveros huyu mtu hata sielew ilianzaje ila ghafla tukajikuta ni.marafik wa Karibu sana ki ukwel kwa jinsi nnavyomuona atakua mama fulan hv mwenye heshima zake ambae busara imejaa ila tu kwa story za celebrities tu namuona kama.wale ndugu zangu wa tandale kwa bi nyau maana humkos kwenye post za wema diamond na bongo muvie yote ila naamin Ana roho nzur tu

emmyta kwanza kwa maono yangu binti fulan muoga hv kila nikiangalia avatar naona kabisa mshika Dini ila muoga fulan wa ku comment ila naamin kuna maeneo ukimgusa bas utaona upande wake wa pili MMU Ndio jukwaa lake la kujiskia

Asprin baba la baba mtu mzima fulan ila ni wale wazee vijana huwez kumpiga fix kirahis na kizembe zembe akakubal yuko Vizur kwa totoz na anamain yeye kama wine anavyozeeka ndio anavyozid kuwa McHaro

Shunie tya02 Daby eddy muhando fakalava Raimundo espy nikipewa nafas ya upendleo ntawaelezea vizur
Hahaa umenikumbusha kitu nimechekajee. Siku ya kwanza geniveros amejiunga tu jf, akaja straight celebrities kule yupo "jamani naomba mnipokee na mimi ni mmbea mwenzenu", tulichekaa. Kumbe alikuwa anakula tu ubuyu as a guest akaona isiwe tabu akajiunga
 
Hahaa umenikumbusha kitu nimechekajee. Siku ya kwanza geniveros amejiunga tu jf, akaja straight celebrities kule yupo "jamani naomba mnipokee na mimi ni mmbea mwenzenu", tulichekaa. Kumbe alikuwa anakula tu ubuyu as a guest akaona isiwe tabu akajiunga

Ha ha ha kumbe sjamkosea enhee mwanamke anapenda lile jukwaa si mchezo maana kwa umbea wa mjin anamkarbia warumi
 
Back
Top Bottom