1 night stand ==== moja usiku kituo si ndio tafsirSasa kama maex wenyewe wote siwakumbuki hao 1night stand tawakumbuka kweli shemeji!!
Ngoja atoke lunch atuambie.Simjui hata mmoja labda dota anawajua
Shemeji tena kwel umezeekaNdio shemeji, bora tu tuchangiane kwenye vitu vya msingi.
Net hii hii au nyengne?Shemeji ungekuwa kitambaa nahisi sasa hivi ungekuwa net
Yaani acha tu shemeji kama ni chombo basi chujio.Shemeji ungekuwa kitambaa nahisi sasa hivi ungekuwa net
List yangu imecorrupt ngoja nitaiandika wiki ijayo.Ha ha ha mie simoo nasubur list yako
Ha ha ha ha maana yako imeeleweka
Na kama mwanasiasa bashite
Ha ha ha ha napata hofu maana wakirith inakua Mara tatu yakeHahaha....
Mkweo mungu amsaidiage tu
Amen shemeji, akusaidie na wewe.Hahaha....
Mkweo mungu amsaidiage tu