Describe and explain anything about HIm/HEr

Mi simo ujue
Mdogo wangu nakudadavua..

Emmyta ni mwanamke mwenye hofu ya mungu..

Ana huruma na hapendi kukwaza mtu..

Mtu wa dini kidogo , anajipenda na kujiheshimu , sio mtu wa vurugu hata mkimkosea bado ni mpole..

Ameolewa na yuko serious na relationship yake..

Anapenda sana kujua na kujifunza juu ya mahusiano.
 
The list goes on..

Nyagei

Huyu ni kijana bado hajaoa..

Anapenda sana wanawake wazuri ila hana mipango mizuri katika kutongoza hivyo mara nyingi anaambulia patupu .

Ni mtaratibu sana ktk kufanya mambo yake.

Anajua vitu vingi ila sio mtu wa kujionesha kujua/ hana kujivuna.

Mtani kwa watu kada yake tuu.. na ana heshima kwa wakubwa zake.
 
Haha..
Nimekuelewa ujue. Ila wewe jirani yangu tunaelewana lugha.
Sanawari - kijenge. Soweto -ololoo. Njiro- Kisongo. Hakuna umbali ujue. [emoji4][emoji4].

Ndo mana nakupenda mbaya yan.sijui unakulaga nini mbn unaelewa haraka hvyo chalii

Nauli 1500-2000kutoka hapo mpka klm jiran sio nyingi
 
Ndo mana nakupenda mbaya yan.sijui unakulaga nini mbn unaelewa haraka hvyo chalii

Nauli 1500-2000kutoka hapo mpka klm jiran sio nyingi

[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] timez buku
 
Hivi unanipa hii jeuri halafu niipeleke wapi saa hizi [emoji16]
 
Hahahaaaa!

Mianzini mataa

Chuo-ATC /kona ya Nairobi

Darajani

Majengo/kona ya Jr


Kwa idd... [emoji23][emoji23][emoji23]

Hapo muite Clkey au emmyta wamalizie..
Damn, did it for a second..
Hahaha...kama unatumia airtel basi nitatimiza ahadi aseeh. Nilijua utajichanganya majengo.
 
Damn, did it for a second..
Hahaha...kama unatumia airtel basi nitatimiza ahadi aseeh. Nilijua utajichanganya majengo.
Sasa kuna route hii wanayojenga..

Mianzini

Kwa mollel

Tank la maji

Sanawari

Manchester

Mount meru

Philips

Kwa shabani

Kimandolu

Ngulelo

Kwa mrefu..


Hahahaaaaa! Muite birth-mate wangu azarel atamalizia.[emoji23][emoji23][emoji41]
 
Sasa kuna route hii wanayojenga..

Mianzini

Kwa mollel

Tank la maji

Sanawari

Manchester

Mount meru

Philips

Kwa shabani

Kimandolu

Ngulelo

Kwa mrefu..


Hahahaaaaa! Muite birth-mate wangu azarel atamalizia.[emoji23][emoji23][emoji41]

Hapo kati kati ya tank na sanawari kuna darajani.

Ila umepavuruga aseeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…