Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Mdogo wangu nakudadavua..Mi simo ujue
Emmyta ni mwanamke mwenye hofu ya mungu..
Ana huruma na hapendi kukwaza mtu..
Mtu wa dini kidogo , anajipenda na kujiheshimu , sio mtu wa vurugu hata mkimkosea bado ni mpole..
Ameolewa na yuko serious na relationship yake..
Anapenda sana kujua na kujifunza juu ya mahusiano.