Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa heshima yako bas acha nmsameheNgoja tumpe siku kadhaa. Akishindinika hadi kwenye vikao vya Heineken basi...
Ameshachelewa ila daby nikwambie kitu u ishauri ila pm sasaDuuh...ndicho anachokihitaji huyo
Nataka nikufariji my dear![emoji4][emoji4][emoji4]Km yameisha au hayajaisha unatakaje
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Shemej yake Daby mambo naona shemej yako alikupa nafas ya upendeleo
Mwanarumango hii Njia ya himo karbia na segera kwenye Ile milima ya sekenke karbia karbia na chalinze kama unakuja bwejuuKwani kwenu wapi mbona wamtisha.
Ooooh!! Ngoja niangalie maendeleo utakuwa wa kwanza kupata taarifa, ila sasa hivi nataka niwe nao wa4 kwa pamoja maana nimegundua kuwa na mmoja ni matumizi mabaya ya rasilimali watu, proposal iko kwa MO11 akiipitisha nitakupa taarifa.Ya kumreplace mo11
Jeur hyo Huna utakaa na Nan kunywa juice ya miwawala sijamfukuza
Haswa kwa sie ambao mitandao yetu ya kijamii ni watsapp na jf pekee.Hakuna pengine pa kuenda ndio mana kwani huku jf kila kitu kinapatikana
Bado hayajaishaNataka nikufariji my dear![emoji4][emoji4][emoji4]
Wewe haunifai.. ni bora niende jiji la viwonder nikatafute mrembo wa kunibashite. Yaani niwe mpenzi mtazamaji kweli!Ooooh!! Ngoja niangalie maendeleo utakuwa wa kwanza kupata taarifa, ila sasa hivi nataka niwe nao wa4 kwa pamoja maana nimegundua kuwa na mmoja ni matumizi mabaya ya rasilimali watu, proposal iko kwa MO11 akiipitisha nitakupa taarifa.
Ha ha ha dota nmeachana nae toka lunch time alisema Leo atapitia kwwnye maombi jion Kwan hajafika mpka sa hvi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mkwe usijifanye haujaona swali langu.
Yule majukumu ya kifamilia ndio mengi, ila yupo.Sema kaka yako yeye kaondoka mazima au ana I'd nyingine?
Naona sasa unataka kuharbuHivi shemeji salamu ya mkwe ni mambo? ? Kweli!
Kabisa mana saa ingine unajikuta hata huko whatsapp hujaingia mara nyingi kama ilivyo jf.Haswa kwa sie amba mitandao yetu ya kijamii ni watsapp na jf pekee.