Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Nami nakuja pm kukushauri shemeji.Kwa hiyo unanishaurije. Maana ushauri wako ni muhimu saana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami nakuja pm kukushauri shemeji.Kwa hiyo unanishaurije. Maana ushauri wako ni muhimu saana.
avatar ipi tenaNawe kwanini umerudisha avatar?
Na huu usingizi mkwe hebu nifafanulie ulitaka kumaanisha nini hapa?Hivi mkwe hi si Sawa na mambo au kisa cha kiswahil umepanic
Si hiyo hapo! Si ulibadili?avatar ipi tena
Niunge basi nije nichungulie tu, sitapiga kelele.Ipo busy sasa hivi haha haha...hukuona request [emoji118][emoji118]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Nami nakuja pm kukushauri shemeji.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahaha
Aseeh JF kama imenikamata hadi mimi basi. I can't it. Halafu ukiangalia unachat pumba [emoji23][emoji23][emoji23]
mama nimepigiwa makelele na watu wengi niirudishe kila ninapoenda wanataka hii irudiSi hiyo hapo! Si ulibadili?
uchungulie nn kwan mambo ya kirungu yanaendeleaNiunge basi nije nichungulie tu, sitapiga kelele.
Yaani mie wakati mwingine najisahau hadi nikija kukumbuka yamepita masaa mawili ndio naingi kujibu msg watsapp.Daah! Kumbe ugonjwa wetu mmoja.
Ashukuriwe aliyeianzisha mana
Weka helaaa hv mkweo kataja top two yakeNajaribu kujipigia chapuo ila mkwe wako mgumu saana bwana.
Ooooh safi sana.Asante mkwe kwa taarifa na ruhusa uliyompa bintiyo kwa kwel maana mweny ewe Leo Nina vikao vya of is mpka muda huu
Nipo shunie, niliiposikia kuwa unaumwa moyo wangu umekosa amani. Ni kweli una homa homa za mimba? [emoji2] [emoji2] [emoji2]we mtu upo
Sijampata bado hebu niume sikio[emoji101] [emoji101]No, jina limenitoka alikuwa jukwaa la historia. Aliaga week iliyopita.
Ila huu mchezo hautaj hasira na mm nikienda Dina Sawa mkweOoooh safi sana.
Yaani hiki kizazi kigumuuuu, ni kukimagufuli tu lasivyo mambo hayaendi.Wakwe wa kidigital hao