Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
hahahhahah ndio fakalava kwan hutaki uncleNipo shunie, niliiposikia kuwa unaumwa moyo wangu umekosa amani. Ni kweli una homa homa za mimba? [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahhahah ndio fakalava kwan hutaki uncleNipo shunie, niliiposikia kuwa unaumwa moyo wangu umekosa amani. Ni kweli una homa homa za mimba? [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hiyo 'kipenzi' sina tatizo nalo, tatizo ni kunidalalia.Hujawah kusikia mtoto anasema kwako.mama kipenz Jaman mkwe
Kabisa halafu hugeuki nyuma ni mbere kwa mbereYaani hiki kizazi kigumuuuu, ni kukimagufuli tu lasivyo mambo hayaendi.
Mkwe ujue kwakuwa wewe ni mwanangu naweza kukulaani kabisa.C Daby alikua anakula na mwenzie
Shemeji nakukumbusha tu kuwa tuko kwenye kwaresma, alafu pia uongo ni dhambi.Kwa ule ujanja wako hauhitaji kurushiwa cash inakuhusu. Maana juzi nilikurushia ukafuta meseji ya mwamala.
Au shemeji ulijua ni arrears nin magu kawarushia [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ya sasa mimi ndio iliyoning'alia machoni zile nyingine nilikuwa naona chengamama nimepigiwa makelele na watu wengi niirudishe kila ninapoenda wanataka hii irudi
Nawe jisahau basi kidogo tu.Hahaha shindwaaa na ulegee
Mkwe hebu lala ili akili itulie upate muda wa kutafuta pesa zaidi.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
halaf unajua kwa wanawake mliopiga kelele n ww na joanah aisee sitoi tena kila ninapoenda watu wanataka ya mapaja irudiHiyo ya sasa mimi ndio iliyoning'alia machoni zile nyingine nilikuwa naona chenga
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]uchungulie nn kwan mambo ya kirungu yanaendelea
Mkwe mwanao kaenda Dina na kijana Mie unasema nilale kwel hapa kuna namnaMkwe hebu lala ili akili itulie upate muda wa kutafuta pesa zaidi.
Mie si unajua maneno matupu hayavunji mfupa!!! Kwahiyo usihofu.Ukikolea kwa mistari na wewe nitawapeleka wapi wawili shemeji.
hahahahhah kimbilimbili kitakua nchi moja ndio mana hataki kuchunguliwa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nichungulie maongezi, hicho kimbilimbi chaje acha aendelee kukificha tu.
Laana yako naisubr kwa hamuuMkwe ujue kwakuwa wewe ni mwanangu naweza kukulaani kabisa.
Akuuuu, kwanini nijibane bane!! Sijazoea.Weka helaaa hv mkweo kataja top two yake