Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ooooh!!Mimi ni jirani yangu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooooh!!Mimi ni jirani yangu tu.
juzi nilikuona jela umetoka linihahahah sitaitoa tena
Kwa nyakati hizi vinyoosheo sio muhimu kwani mambo yanavyoenda unajinyoosha mwenyewe bila kunyooshwaUnataka tunyooke enhee vinyoosheo mnavyo
lee empire uweona huku lakini??Niaje wana chit-chat jukwaa limepoa saana siku hizi. Sijui promo za politicians au sijui pesa za bundle zimekata. Ok haya poa tu. Tutafanyaje bhana.
Leo tunafanya hivi unawachukua member wawili hapa jf wadadavue.. waelezee jinsi walivyo na unavyohisi walivyo nje na ndani ya JF. Hii ni njia ya kujenga urafiki lakini pia ukikosea ukamdescribe mtu vibaya utachezea vitasa na hiyo itakuwa ni juu yako.
Binafsi....nitaanza na hawa watu
Siyo namna tu anayo master key ya nyumba nzima, akiamua namkuta room mambo yanakwenda mubashara.Nikajua utamwita maana una namba yake
hahahhah fakalava buanaShunie siyo wa kunitema, mambo yetu bado ni mubashara.
Still together, tunakula unyunyu kwenda mbele.
nilitoka kesho yakejuzi nilikuona jela umetoka lini
inabidi tuongee kwanza huku kutishana mpaka lini ??Mume wangu hebu tukalale, nimekumisimo[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Kama humpend vilehahahhah fakalava buana
hahhahah ngoja ajeHahaha
Niite tu, nitakuja kishingo upande,siku hizi hana hela.
Ha ha ha msimu wa kuomba kitambulisho unapewa mjegejoKwa nyakati hizi vinyoosheo sio muhimu kwani mambo yanavyoenda unajinyoosha mwenyewe bila kunyooshwa
mmhKama humpend vile
Achana na Daby maana anachonga sana juu yetu.hahhahah unataka fakalava aje na povu mm sina ata no yake
Ha ha ha ha acha nikae kimya huu mguno sio mzur
siku nyingine washtakie kwangu wanajua nachowafanyaganilitoka kesho yake
Kama kawaida yako