Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh kumbe!! Haya tuma advance.Sasa pm wanafundwa au mambo yetu yale.
Wew mchukue ukamfunde afae kwa matumizi ya jikoni na chumbani
Na hii sentensi ukiisoma April, "mwezi ujao" utakuwa mwezi gani??[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Nalijua April jamani
Hapana, wameniimarisha.Hahaha... hivi unajua wachaga wamekuharibu wewe! !
MayNa hii sentensi ukiisoma April, "mwezi ujao" utakuwa mwezi gani??
Mmh jishaue
Hebu nikumbushe dota.Mmh jishaue
Na ukiisoma May??[emoji12]
Woow... Thank you Super dear... Thank you love.. Love you so much mahondaw... I'm so happy with you finally being mine...Dahhhhhhhhhhh
I will be back Smart911 ngoja kwanza niende kwenye kioo
Asante sana Smart911
Watu wataniroga mwaka huu hakyamungu misifa yote hii dahhhhhhhhhhh
I don't know what to say yani
I'm speechless Super dear
Nina furaha mpaka najisikia kulia mwenzio
Let me declare this thing here
I love you Smart911
Love you for real
hivi kwani nimekosea STUNTER
mm sijui ndio ukumbuke nilichosema kuhusu stunter kuwa nje ya jf yupojeHivi kamaanisha vitasa vipi