Describe and explain anything about HIm/HEr

Describe and explain anything about HIm/HEr

Kwahiyo smart kamwaga kasie?

1. He is a man of vision
2. Intelligent one
3. Courageous and full of confidence
4. Kwa msimamo hana mpinzani yani ni Mtu wa maamuzi, once he made up his mind heheheee.....
5. Akikueleza kitu usikie na kutendea kazi hapendi maneno maneno na ubabe katika mapenzi
6. Very descent and careful
7. Hapendi kumkwaza mtu
8. Mzunguuuuuuuuuu blah blah za kiswaz kwake ni mwiko
9. He lives his life Hanaga shida wala shobo namtu
10. Hapendi kuongelea past, past will remain past and forgotten
11. Anajua wajibu wake as man
12. Akipenda amependa kweli hafichi chochote
13. He like to give attention to his woman and you do the same
14. On what makes you happy he will support you in that
15. When you are sad he will comfort you
16. Uki fall he will pick you up
17. He will never leave you behind hurt wakati yeye yupo

Side B sasa aajajajajajajajajajajajajajajajaaajajaj
18. He's crazy and sweet
19. Mambo anayajuaa haswaaaaaa
hapo tu yani mimi hooii mpaka nimesisimka hapa
Okay ngoja kwanza ......

Nitarudi

cc: Smart911
 
Majibu unayo tayari. Sema cha kuongezea hapo ni haya:

Ofcourse I care about only one person here
The rest can go to hell.

A man of vision
Intelligent one
Courageous and full of confidence
Kwa msimamo hana mpinzani yani ni Mtu wa maamuzi, once he made up his mind heheheee.....
Akikueleza kitu usikie na kutendea kazi hapendi maneno maneno na ubabe katika mapenzi
Very descent and careful
Hapendi kumkwaza mtu
He lives his life Hanaga shida wala shobo namtu
Hapendi kuongelea past, past will remain past and forgotten
Anajua wajibu wake as man
Akipenda amependa kweli hafichi chochote
He like to give attention to his woman and you do the same
On what makes you happy he will support you in that
When you are sad he will comfort you
Uki fall he will pick you up
He will never leave you behind hurt wakati yeye yupo

ukija kwenye mambo yetu sasa ajajajajajajajajajajajajajajajajajajajajajajaja
He's crazy and sweet
Mambo anayajuaa haswaaaaaa
hapo tu yani mimi hooii mpaka nimesisimka hapa
Okay ngoja kwanza ......

Nitarudi

cc: Smart911
Wacha we!! Haya mate kila la kheri.
 
Wacha we!! Haya mate kila la kheri.

Ila mate weweee haya tu
Mungu anakuona mate

Shida kubwa tulionayo nikwamba tunataka kuongea Kila wakati, tunataka kujibu Kila tunachokisikia . Kila tunachokiona tunataka kukisemea kitu

Si Kila jambo linatakiwa kuongelewa
Si Kila ulichonacho unatakiwa kukisemea kitu
Si Kila usikiacho/ uambiwacho unatakiwa ujibu

Si Kila ufanyiwacho unatakiwa umwambie Kila mtu .

Kwa kila jambo kuna majira yake na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu

Ipo nguvu katika kunyamaza mate
Yapo mambo ambayo tunapaswa kuongea, kunena lakini yapo mambo ambayo tunapaswa kunyamaza kwa ajili ya usalama wa roho zetu
 
I care about only one person here
The rest can go to hell.

He is a man of vision
Intelligent one
Courageous and full of confidence
Kwa msimamo hana mpinzani yani ni Mtu wa maamuzi, once he made up his mind heheheee.....
Akikueleza kitu usikie na kutendea kazi hapendi maneno maneno na ubabe katika mapenzi
Very descent and careful
Hapendi kumkwaza mtu
Mzunguuuuuuuuuuuuuuu
He lives his life Hanaga shida wala shobo namtu
Hapendi kuongelea past, past will remain past and forgotten
Anajua wajibu wake as man
Akipenda amependa kweli hafichi chochote
He like to give attention to his woman and you do the same
On what makes you happy he will support you in that
When you are sad he will comfort you
Uki fall he will pick you up
He will never leave you behind hurt wakati yeye yupo

ukija kwenye mambo yetu sasa ajajajajajajajajajajajajajajajajajajajajajajaja
He's crazy and sweet
Mambo anayajuaa haswaaaaaa
hapo tu yani mimi hooii mpaka nimesisimka hapa
Okay ngoja kwanza ......

Nitarudi

cc: Smart911
Una heri mjukuu wangu. Ila ili upate baraka zilizo njema... kanusha na usirudie tena sentensi ya kwanza kwenye hii post. Kwa maana Mungu wetu hajaribiwi na huwa hatamalaki kwenye visasi na majivuno.

Ubarikiwe mjukuu wangu na upokee neema za Bwana Mungu wetu.
 
Nashukuru sana sana babu Usichoke kunielekeza na kunirekebisha mjukuu wako
Nimesharekebisha, nimetubu na kuifuta kabisa ile kauli babu kwa sababu Sitaki kupoteza watu wa maana na nataka kuongesa mtu wa thamani pia

Asie na akili humdharau mwenziwe bali mtu alie na ufahamu hunyamaza .
Asante babu na ubarikiwe sana
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mate jamani nini tena? Mie nimefurahi unavyopata mgegedo classic maana ni muhimu kwa afya ujue.[emoji85] [emoji85]

Wee mate wewe!!
Sio vizuri kumuongelea mtu mate
Mimi sitaki kumkwaza mtu wala kumletea hasira na ghadhabu though moyo na hisia vinanisukuma kujibu
Sema tu,
I follow my heart but I don't forget to carry my brain with me.
 
Back
Top Bottom