Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
HahahahaaaHapo kati kati ya tank na sanawari kuna darajani.
Ila umepavuruga aseeh
Kesho list 2 inaendelea..!
Kesho wa watu 10.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaaaHapo kati kati ya tank na sanawari kuna darajani.
Ila umepavuruga aseeh
Thanks mamy.
Siunajua hizi simu zinakiherehere zina assume visivyovihusu.
Haya...hauna usingizi leo maana sio kukodoa macho huko.
Umekuja huku mama?Bado mko macho
Nataka kufany usafi majukwaa yote kwa hiy napitia kuangalia km mpo machoUmekuja huku mama?
Usaf ukiisha nafunga na chumba kabisTutahama vyumba ukimaliza huku tunahamia kule...
Kwa kweli tulindane...
Wizi ni mwingi hasa mida hii ukikosa joto la mwenzako tu dk 5 unaibwa.
Kikubwa Lord. God .
Shemej yak nimemficha michungwan namingoj mlale nimuingize[emoji16][emoji16] una lako wewe. Unataka ututoe umwiingize nani!
The wife said to his husband :Hahahhahhahahhhhahaahha.niko na upinde hapa pamoja na mishale ya sumu.
Halafu wizi wa mida hii ni mzuri kweli maana hakuna mahali unaeza enda shtaki.
Mnaibiana weeeeee hadi nouma.
[emoji15]only 5minits aseh!mi hata mwak sawa tu
Shemej huyHuyo wa kufichwa ni shemeji kweli? Au diversion. !