Describe and explain anything about HIm/HEr

Describe and explain anything about HIm/HEr

Namuuliza hap kwamb yupo tyr nimtaje lkn kakataa anatak iwe sir
 
You Be more carefully B. my heart stopped functioning but only pumping you.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].hey u a killing m uje.God is watchin u ujue
 
Teh..Hebu lala mama kesho usivimbe macho
 
Mdogo wangu nakudadavua..

Emmyta ni mwanamke mwenye hofu ya mungu..

Ana huruma na hapendi kukwaza mtu..

Mtu wa dini kidogo , anajipenda na kujiheshimu , sio mtu wa vurugu hata mkimkosea bado ni mpole..

Ameolewa na yuko serious na relationship yake..

Anapenda sana kujua na kujifunza juu ya mahusiano.

Kweli tupu kabisa kaka. Pia sina budi kushukuru uwepo wako pande hizi aisee. Ahsante sana
 
Naunga mkono hoja halafu she is very charming always happy. Sijui kama anajua kununa huyu.

CC: emmyta

Mdogo wangu nakudadavua..

Emmyta ni mwanamke mwenye hofu ya mungu..

Ana huruma na hapendi kukwaza mtu..

Mtu wa dini kidogo , anajipenda na kujiheshimu , sio mtu wa vurugu hata mkimkosea bado ni mpole..

Ameolewa na yuko serious na relationship yake..

Anapenda sana kujua na kujifunza juu ya mahusiano.
 
1. Asprin.
Huyu jamaa kwanza ni swahiba wangu. Kwa wasiomkumbuka alikuwa anaitwa Chrispin enzi zilee. Anapenda sketi saana saana. Kuna siri kibao nimemfichia kwa shemeji yangu kiasi kwamba akinimind tu nasema na ataachika soon.

Anapenda kuongea pumba saana na ukifuatilia post zake utaishia kucheka. MO11 anatabia zinazofanania na huyu ila sema mo11 mdomo wake mzito[emoji23][emoji23]. Ila wapo smart saana wawapo serious.

2. Shunie. Haka kadada ka tanga aseeh kanachekesha saana. Kwanza muda wote kapo online JF nafikir mchuchu wake anakaribia kufilisika[emoji16] kwa bundle.kama hakanunuliwi bundle kaje kabishe hapa.

Ukikatania kukatongoza basi katakujibu kwa unyonge hadi unakaonea huruma. Nafikiri kanaheshimu mahusiano yake maana viwembe wa jf kama Saint Ivuga ameshindwa kukachukua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom