Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

Mwanadamu humzaa mwanadamu, ndyo maana Miria na Yesefu ni wanadamu Mengine omba Rehema kwa Mungu akufungue ufahamu wako
 
CHRISTMAS_NI_UPAGANI‬
‪#‎UNAOTUKUZWA‬!?
_________________________
Maelfu ya watu duniani leo wanaamini X-MASS ni
sikukuu ya ‪#‎kuzaliwa_kwa_YESU‬ japo wachache
hawaamini.
..Makundi haya mawili ; moja litakuwa SAHIHI, maana neno la Mungu halijipingi.
Hebu tuiulize BIBLIA itusaidie majibu ya waziwazi
bila ‪#‎KUPINDISHA_maneno‬.
Tuangalie X-mass
(A) KATIKA BIBLIA AGANO JIPYA.
(B) NA JINSI INAVYOHUSIANA NA:
🏾>NIMRODI (mungu jua)
🏾> ‪#‎TAMUZI‬ (mungu mwana wa jua)
🏾>SEMERAMIS (mungu mke-marikia wa
mbinguni);
🏾> Kuwafungulia wafungwa.
(A) ‪#‎TUANZE_NA_AGANO_JIPYA‬.
**LUKA 1:26-31
‪#‎MWEZI_WA_SITA‬ (6) malaika Gabrieli
alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa
Galilaya, jina lake Nazareti,
kwa mwanamwali bikira ......
Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu,....
Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto
mwanamume; na jina lake utamwita ‪#‎YESU‬.
>>Tumeona tangazo la Maria kubeba mimba ya
Yesu likitolewa mwezi wa sita ;
Iweje kufika mwezi wa 12. Awe kazaliwa !!!?
‪#‎SWALI‬ :
Je; Yesu alizaliwa ‪#‎NJITI‬ (kabla ya miezi
9)?
‪#‎JIBU‬:
LUKA 2:6,7.
"?siku zake za kuzaa ‪#‎ZIKATIMIA‬ .
..akamzaa..."
>>Tumeona kumbe siku za mwanadamu kuzaa
(miezi 9) zilitimia .
...Hakika Tangu Kitabu cha
Mwanzo mpaka ufunuo hakuna ushahidi wa X-
MASS (25.desember) kuwa ‪#‎Sikukuu_ya_LUZALIWA_YESU‬.
Yesu alikaa na mitume na wanafunzi wake kwa
zaidi ya miaka mitatu; lakini Muda huo wate
hawakuwahi kumwona/kumsikia akiwahimiza
‪#‎WASHEREHEKEE_SIKUKUU_YA_KUZALIWA_KWAKE‬
kwa kutenga tarehe yoyote ile.
...wala wanafunzi
hawakuwahi kuulizia tarehe ya yeye kuzaliwa.
Hata baada ya kupaa kwake mitume
hawakutenga siku yoyote.
>#SWALI:
***KWANINI YESU ‪#‎HAKUWAPA_WAAMINI‬ WA
KWANZA TAREHE YAKE YA KUZALIWA NA
KUWAHIMIZA WAISHEREHEKEE??
>#JIBU:
Hii ni dhahili kuwa Yesu hakuona umuhimu wa
watu kusherehekea kuzaliwa kwake maramoja
kwa mwaka.
Kutokana na umuhimu wa YESU ndani ya maisha
ya watu;
Aliwataka wafungue mioyo yao ‪#‎AZALIWE_NDANI_YAO‬ KILA SEKUNDE, Ilikubadirisha Maisha yao
sikukwasiku ,hivyo sherehe ya kuzaliwa Yesu
haina ukomo na inafanyika ndani ya MIOYO
WAMTUMAINIO Kila sekunde; wanaitikia kuzaliwa
Huko Kwa kuacha maovu kila siku.
>#SWALI:
****JE; KUNA ‪#‎SHEREHE_YOYOTE‬ AMBAYO
YESU ‪#‎_ALIWAAGIZA_WAIFANYE‬ KAMA
KUMBUKUMBU YA KILE KILICHOMFANYA
AZALIWE KUISHI KUFA NA KUFUFUKA?
>#JIBU:
Walipewa ‪#‎PASAKA‬ (passover) na siyo Easter
‪#‎Utaratbu_wa_PASAKA_NI_HUU‬:
YOHANA 13:9-15
..Basi alipokwisha kuwatawadha miguu, na
kuyatwaa mavazi yake, na kuketi tena,
akawaambia, Je! Mmeelewa na hayo
niliyowatendea?
Basi ikiwa mimi, niliye Bwana na Mwalimu,
nimewatawadha miguu, imewapasa vivyo
‪#‎KUTAWADHANA‬ miguu ninyi kwa ninyi.
..Kwa kuwa nimewapa kielelezo; ili kama mimi
nilivyowatendea, nanyi mtende vivyo.
>Mitume wanaendeleza PASAKA kama agizo la
Yesu. siyo X-MASS wala EASTER ifanyikayo
mwezi March au April (zote za kipagani)
1WAKORINTHO 11:24-26
..naye akiisha kushukuru akaumega, akasema,
Huu ndio mwili wangu ulio kwa ajili yenu; fanyeni
hivi kwa ‪#‎UKUMBUSHO_wangu‬.
..Na vivi hivi baada ya kula akakitwaa kikombe,
akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu
yangu; fanyeni hivi kila mnywapo, kwa
#UKUMBUSHO_wangu.
..Maana kila mwulapo mkate huu na kukinywea
kikombe hiki, ‪#‎MWAITANGAZA_Mauti‬ ya Bwana
‪#‎hata_AJAPO‬ .
Tumeona tukio lipaswalofanywa kama
kumbukumbu ya kile kilichofanya Yesu azaliwe na
kufa.
>> Pia tumeona utaratibu wa kuendesha #PASAKA
(MEZA YA BWANA) na hatupaswi kiuka huo
utaratibu wa:
🏾>Kuoshana miguu waamini wote (wanawake
kivyao) kama ishara ya unyenyekevu.
🏾>Kula mkate; waamini wote ;
🏾>Kunywa divai isiyo na chachu; waamini wote.
*******************
(B) #FAMILIA_YA _NIMRODI (mungu jua) #KIINI
CHRISTMASS:
....Baada ya kuona Yesu mwenyewe na biblia ktk
agano jipya #ikiikana_CHRISTMASS (Dese.25)
kuwa siyo SIKUKUU ya kuzaliwa YESU.
...Tuangalie
#chanzo_chake kwa #Uthibitisho wa BIBLIA
🌿**#HISTORIA_YA_NIMRODI**
Mwanzo 10:8-12.
Kushi akamzaa... #NIMRODI_akaanza kuwa
mtu #HODARI_katika_nchi.
Alikuwa hodari kuwinda wanyama mbele za
BWANA. Kwa hiyo watu hunena, Kama Nimrodi,
hodari wa kuwinda.....
Mwanzo wa ufalme wake ulikuwa #BABELI
(machafuko) na Ereku, na Akadi, na Kalne, katika
nchi ya Shinari.
.....akajenga Ninawi, na Rehoboth-iri, na Kala;
na Reseni, kati ya Ninawi na Kala, nao ni mji
mkubwa.
>>Tumeona alivyoishangaza dunia ya kipindi
chake kwa uhodari wake hadi wakamdhania
anatenda mbele za Mungu ; yani uhodari wake
siyo wa Kawaida .
Ana miji mingi na mikubwaa pamoja na Babeli
(machafuko).
Katika fungu hapa chini tutauona mwanzo wa
#upagani_wake; Mana alisimamia ujenzi wa
#MNARA_mrefu_WA_BABELI ; ili wamfikie Mungu
mbinguni; marabaada ya garika .
Hivyo Akajiinua awe sawa na
MUNGU.
.Huu ulikuwa UASI MKUU na upagani Kinyume na
NENO LA MUNGU ( "Tawanyikeni usoni pa nchi")
**MWANZO 11:4-9.
Wakasema, Haya, na #tujijengee_mji, na
MNARA, na kilele chake #kifike_MBINGUNI ,
tujifanyie jina; ili tusipate #kutawanyika_usoni pa
nchi yote.
BWANA akashuka ili auone #MNARA na mji
waliokuwa WAKIUJENGA wanadamu.
BWANA akasema, Tazama, watu hawa ni taifa
moja, na lugha yao ni moja; na haya ndiyo
wanayoanza kuyafanya, wala sasa hawatazuiliwa
neno wanalokusudia kulifanya."
Kwa ufupi Nemrodi ni kitukuu cha Nuhu
kilichozaliwa baada ya
#Gharika_Kinatoka_ukoo_wa_HAMU mwana wa mwisho wa NUHU ambae
uzao wake #ULILAANIWA kwa Kosa lake (Hamu)
kuuona Uchi wa NUHU na kucheka....
#NIMRODI_ktk_ufalme_wake alifanya makuu mpaka
akaanza kuabudiwa #kama_mungu
; Alikuwa na mke aliyeitwa #SEMERAMIS nae
akahesabiwa kama mungu mke.
Baada ya kifo cha Nimrodi akimwacha mkewe
mjane anaeheshimiwa kama mungu Mke;
SEMERAMIS alipata mimba ktk Ujane wake;
chakushangaza alipoulizwa Akasema ;
Mimba ile ni ya #NIMRODI; akiwambia kuwa
Nimrodi alipokufa alikwenda kwenye #JUA hivyo
HUWA ANAKUJA Kumtembelea kwa mionzi na ndiye kampa
mimba ile.
Watu walimwamini japo ukweli ni kuwa mtoto
kwa jina #TAMUZ_aliyezaliwa 25. DESEMBER.
alikuwa wa #UZINZI .
>>Hivyo Nimrodi akaendelea kuwa mungu jua ; na
akiabudiwa kila JUMAPILI.
>>Semeramis akaendelea kuwa mungu mke
marikia wa mbinguni.
>> #TAMUZ akawa mwana wa mungu Jua.
#Akisherehekewa kuzaliwa kwake kila mwaka; 25.
#DESEMBER.
#CHRISTMAS_SHEREHE
YA#KUZALIWA_TAMUZ:
____________________________
. Baada ya X-mass kuanzia #BABELI upaganini
iliendelezwa na Wapagani wa Kirumi.
Mbali na kusherehekea kuzaliwa kwa TAMUZ
ndani ya sikukuu hii;baadhi ya #wafungwa
walikuwa wakiachiwa huru.
...
**YEREMI 52:31,33.
Hata ikawa, katika mwaka wa thelathini na
saba wa kuhamishwa kwake Yehoyakini, mfalme
wa Yuda, katika #MWEZI WA ....12....#SIKU ya
..25.ya mwezi, Evil-merodaki, mfalme wa Babeli,
katika mwaka wa kwanza wa kumiliki kwake,
akamwinua kichwa chake Yehoyakini, mfalme wa
Yuda, akamtoa gerezani.
Baadae kulitokea mapatano kati ya DINI TAIFA
LA RUMI YA KIPAGANI na KANISA la kipindi cha
kushamili kwa UPAPA.
...mambo ya #KIPAGANI_yakavishwa vazi la KIKRISTO ili waumini
wasiyastukie vizazi na vizazi.
Kisha YAKAINGIZWA
kanisani.
Chini ya ungozi wa UPAPA yakisimamiwa na
Joka la zamani, yule Baba wa uongo na Mpinga neno la
Mungu tangu zamani.
*#AYA_NI_BAADHI TU YA MAMBO YA #KIPAGANI_YALIYOVISHWA_UKRISTO
🏾01: Sherehe ya #kuzaliwa_TAMUZ .mungu mwana
wa mungu jua yani 25.Desember.
>>Ikavikwa jina la Kuzaliwa YESU KRISTO.
🏾02: Siku za kufunga wakimlilia TAMUZ baada ya
kifo chake.
>>Zikavikwa jina la mfungo wa KWALEZIMA (siku
40) kabla ya ijumaa kuu.
🏾03: Siku ya kumwabudu mungu jua (Nimrodi)
yani #Jumapili .
>>Ikavikwa Jina la Siku ya BWANA, siku ya
ufufuko wa Yesu.
🏾04: mungu mke yaani Semeramis malikia wa
mfalme Nimrodi, mama wa mungu mwana
(TAMUZ)
>>Akavikwa jina la #BIKIRA_MARIA ,malikia wa
Mbinguni mama wa Mungu.
🏾05: #EASTER. Pia ni sikukuu ya Kipagani; amboyo
makanisa mengi uifanya leo katika mwezi wa
TATU au WANNE.
>>ikavikwa jina la #PASAKA aliyoifanya Yesu
kabla ya kifo chake.
#TAZAMA_MACHUKIZO:
**EZEKIELI 8:14-16.
"..Ndipo akanileta mpaka mlango wa kuingilia
katika nyumba ya BWANA,...na tazama, wanawake (KIUNABII NI
MAKANISA) wameketi #WAKIMLILIA_TAMUZI.
..Akaniambia,...
Utaona tena #machukizo makubwa kuliko hayo.
.. Akanileta mpaka ua wa ndani wa nyumba ya
BWANA, na tazama, mlangoni pa hekalu la
BWANA, kati ya ukumbi na madhabahu,
walikuwako watu kama ishirini na watano,
#wamelipa_kisogo_hekalu_la_BWANA (wameziacha
kweli za biblia kwa kutanguliza mapokeo ya
kibinadamu)
na nyuso zao zimeelekea upande wa
mashariki, nao #WANALIABUDU_JUA,...."
***#KWANINI WATU_WANADANGANYWA??
🏾i/- VIONGOZI WA DINI.
wameshiriki kupotosha
kweli za neno la Mungu kwa. Maslahi binafsi
tangu zamani. Hata YESU algombana nao sana.
MATHAYO 15:
".. Mbona wanafunzi wako huyahalifu #MAPOKEO_ya_wazee, kwa maana hawanawi mikono walapo
chakula.
..Akajibu,.. Mbona ninyi nanyi
huihalifu #AMRI_ya_Mungu kwa ajili ya #MAPOKEO_yenu?
🏾ii/- Kutozingatia neno la Mungu kwa kulichunguza
sisi wenyewe, Kisha kuamini kila #WAFUNDISHALO_Viongozi.
2.TIMOTHEO 4:3-6
".. Maana utakuja wakati #Watakapoyakataa_mafundisho yenye #UZIMA ila kwa kuzifuata nia
zao wenyewe watajipatia waalimu makundi
makundi,...
nao watajiepusha #wasisikie_yaliyo_kweli, na
kuzigeukia #hadithi_za_UONGO.
🏾iii/- #MAWAKALA_WA_Shetani wamejivika dini
wakijiita Manabii na mitume.
2.WAKORINTH 11:13-15.
"..watu kama hao ni #mitume_wa_UONGO,
watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe
mfano wa mitume wa Kristo.
.. Wala si ajabu. Maana #SHETANI_Mwenyewe
hujigeuza awe mfano wa malaika wa NURU
..Basi si neno kubwa watumishi wake nao
#KUJIGEUZA_wawe_mfano wa watumishi wa haki,
ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi
zao.
🏾iv/-#MANABII_WA_UONGO
wameibuka na
Kuaminiwa maana wanapenda kuhubiri
yanayowapendeza wasikilizaji ili wajipatie FAIDA
2PETRO 2:1-2.
1 Lakini kuliondokea manabii wa MANABII katika
wale watu, kama vile kwenu kutakavyokuwako
#waalimu_wa_UONGO, watakaoingiza kwa werevu
#uzushi_wa_KUPOTEZA...."
2 Na wengi watafuata ufisadi wao; na kwa hao
njia ya kweli(YESU) itatukanwa.
..Na katika kutamani watajipatia faida kwenu
kwa #maneno_YALIYOTUNGWA.
⌚**#JINSI_YA KUHEPUKA_MAD_NGANYO**⌚
🏾..UFUNUO 1:3.
" #Heri_asomaye na wao wayasikiao maneno ya
unabii huu, na #KUYASHIKA_yaliyoandikwa_humo;
kwa maana wakati u Karibu"
👉🏾📖..MATENDO 17:11
..Watu hawa walikuwa waungwana kuliko wale
wa Thesalonike, kwa kuwa walilipokea lile neno
kwa uelekevu wa moyo, #WAKAYACHUNGUZA_maandiko kila siku, waone kwamba mambo hayo
ndivyo yalivyo. karib "
>>nasi Tuyachunguze maandiko kuthibitisha kile
Viongozi wa dini wafundishacho
;Hatakama
wanafanya #MIUJIZA_ya_KUKAUSHA_BAHARI;
tena Tuyachunguze kwa unyeyekevu mbele za
Mungu na kumwomba Roho. Atueleweshe na
#Tuwe_tayari_kuyafuata.
************************************************
📖>>#Mungu_hajal_WENGI_WANAIFUATA X-MAS au
Fundisho lolote la UONGO; Bali anajali
#WANAOLITII_NENO_LAKE.
Hebu tizama ,
...Kipindi cha Nuhu waliokoka #wanane(8) tu
watiifu kati ya Mamilioni,
(Mwanzo 7:13)
...Kipindi cha SODOMA walipona #watatu_tu_watiifu kati ya MAELFU.
(Mwanzo 19:27)
*****************************
TUSIZIGEUZE DINI KAMA MASHAMBA YA URITHI
Tusiyoweza kuyaacha;
Bali tuzingatie NENO LA MUNGU LISEMACHO
mana ndilo liwezalokutupatia URITHI wa UZIMA WA MILELE.
📖 Tuiseme #KWELI_Tusijedaiwa siku ya mwisho
 
Happy HORUS day, Mithras day and ofcourse Christmas day to all ya'all. Whichever deity you choose to celebrate just make sure you drink responsibly!
 
WADAU,HUU MJADALA UMESITISHWA MPAKA 29 NOV.2016
NEXT TOPIC:KWANINI MWAKA MPYA UNAANZA SAA 6 USIKU
:coffee:
 
yes nalubaliana nawe sana Barbarosa.hakuna haja ya ku complicate vitu.tunachojua ni kwamba Yesu alizaliwa.na sisi tunasherekea kuzaliwa kwake kwa ajili yetu
 
Biblical Evidence Shows Jesus Christ Wasn't Born on Dec. 25
Posted on Dec 3, 2004 by Good News 62 comments Estimated reading time: 3 minutes

Is it even possible that December 25 could be the day of Christ's birth?

biblical-evidence-shows-jesus-christ-wasnt-born-on-dec-25.jpg
biblical-evidence-shows-jesus-christ-wasnt-born-on-dec-25.jpg

Photos.com
Shepherds were in the fields watching their flocks at the time of Jesus’ birth (Luke 2:7-8). Shepherds were not in the fields during December.
History convincingly shows that December 25 was popularized as the date for Christmas, not because Christ was born on that day but because it was already popular in pagan religious celebrations as the birthday of the sun.

The biblical accounts point to the fall of the year as the most likely time of Jesus’ birth.

But is it possible that December 25 could be the day of Christ’s birth?

“Lacking any scriptural pointers to Jesus’s birthday, early Christian teachers suggested dates all over the calendar. Clement… picked November 18. Hippolytus … figured Christ must have been born on a Wednesday … An anonymous document[,] believed to have been written in North Africa around A.D. 243, placed Jesus’s birth on March 28” (Jeffery Sheler, U.S. News & World Report, “In Search of Christmas,” Dec. 23, 1996, p. 58).

A careful analysis of Scripture, however, clearly indicates that December 25 is an unlikely date for Christ’s birth. Here are two primary reasons:

1. We know that shepherds were in the fields watching their flocks at the time of Jesus’ birth (Luke 2:7-8).
Shepherds were not in the fields during December. According to Celebrations: The Complete Book of American Holidays, Luke’s account “suggests that Jesus may have been born in summer or early fall. Since December is cold and rainy in Judea, it is likely the shepherds would have sought shelter for their flocks at night” (p. 309).

Similarly, The Interpreter’s One-Volume Commentary says this passage argues “against the birth [of Christ] occurring on Dec. 25 since the weather would not have permitted” shepherds watching over their flocks in the fields at night.

2. Jesus’ parents came to Bethlehem to register in a Roman census (Luke 2:1-4).
Such censuses were not taken in winter, when temperatures often dropped below freezing and roads were in poor condition. Taking a census under such conditions would have been self-defeating.

Given the difficulties and the desire to bring pagans into Christianity, “the important fact then … to get clearly into your head is that the fixing of the date as December 25th was a compromise with paganism” (William Walsh, The Story of Santa Klaus, 1970, p. 62).

Did Jesus Christ birth occur on December 25th? Can we even know when Christ was born? Should we really be celebrating His birth?
Watch the video “When Was Jesus Born?”
If Jesus Christ wasn’t born on December 25, does the Bible indicate when He was born?
The biblical accounts point to the fall of the year as the most likely time of Jesus’ birth, based on the conception and birth of John the Baptist.

Since Elizabeth (John’s mother) was in her sixth month of pregnancy when Jesus was conceived (Luke 1:24-36), we can determine the approximate time of year Jesus was born if we know when John was born. John’s father, Zacharias, was a priest serving in the Jerusalem temple during the course of Abijah (Luke 1:5). Historical calculations indicate this course of service corresponded to June 13-19 in that year ( The Companion Bible, 1974, Appendix 179, p. 200).

It was during this time of temple service that Zacharias learned that he and his wife Elizabeth would have a child (Luke 1:8-13). After he completed his service and traveled home, Elizabeth conceived (Luke 1:23-24). Assuming John’s conception took place near the end of June, adding nine months brings us to the end of March as the most likely time for John’s birth. Adding another six months (the difference in ages between John and Jesus) brings us to the end of September as the likely time of Jesus’ birth.
 
Nani alisema yesu kazaliwa tarehe hiyo 25,
Sisi huwa hatuadhimishi tarehe au siku ya kuzaliwa Yesu, Tuanaadhimisha KUZALIWA KWA YESU.
Sherehe ya kuandhimisha kuzaliwa mtu yaweza kufanyika siku yoyote. Mleta mada ayafautishe maadhimisho ya kuzaliwa mtu na siku ya kuzaliwa. Maadhibisho ni celebration Ya mtu kuwepo duniani. Ni Kama kupumzika na kusali siku Ya Saba waweza fanya kazi siku zozote cha msingi uwe na siku Ya Saba ya kupumzika yaweza kuwa siku yoyote iwe Jumatatu jumanne jumatano alhamisi ijumaaa jumamosi au jumapili.sababu kutokana na Time zone difference utakuta mfano sehemu ingine ya dunia muda huo ni jumamosi watu wameanza sabato yao wakati eneo lingine la dunia bado jumamosi haijafika wako shamba wanalima!!! Kwa hiyo kwa mwingine sabato kwa mwingine bado wakati wote waumini wa dini moja Ya sabato!!!! Ukimpigia mwingine nchi ingine anasema niko shamba mwingine anasema sisi tuko sabato kanisani!!! Cha msingi mtu awe na siku Ya Seventh day
 
Hata wanaoadhimisha siku ya kuzaliwa yesu wanajua hajazaliwa siku hiyo ila nadhani ni kumbukumbu tu.
hiyi tarehe imeanza kuadhimishwa huko duniani hata kabla yesu hajazaliwa.
tembelea kitabu cha yeremia
 
Azaliwe tarehe 25,29 au 01 mimi hiyo sijali nachojua mimi Yesu ndiye Bwana na Mwokozi wangu na nina imani kuna siku atarudi that's it...hiyo kukaa kutafuta au kubishana alizaliwa lini ni kupoteza muda ingefaa ungetafuta Bible ukatafakari mistari miwili mitatu ungejiongezea kitu rohoni.

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada ni wa kusamehe tu Maana hata hajui Tarehe 25 December Huwa ni nini???
 
Sherehe ya kuandhimisha kuzaliwa mtu yaweza kufanyika siku yoyote. Mleta mada ayofautishe maadhimisho ya kuzaliwa mtu na siku ya kuzaliwa. Maadhibisho ni celebration Ya mtu kuwepo duniani. Ni Kama kupumzika na kusali siku Ya Saba waweza fanya kazi siku zozote cha msingi uwe na siku Ya Saba ya kupumzika yaweza kuwa siku yoyote iwe Jumatatu jumanne jumatano alhamisi ijumaaa jumamosi au jumapili.sababu kutokana na Time zone difference utakuta mfano sehemu ingine ya dunia muda huo ni jumamosi watu wameanza sabato yao wakati eneo lingine la dunia bado jumamosi haijafika wako shamba wanalima!!! Kwa hiyo kwa mwingine sabato kwa mwingine bado wakati wote waumini wa dini moja Ya sabato!!!! Ukimpigia mwingine nchi ingine anasema niko shamba mwingine anasema sisi tuko sabato kanisani!!! Cha msingi mtu awe na siku Ya sabato.

Point yako inaleta utata wa Dini ya Sabato.
si ajabu Sabato ilikuwa siku ya kupumzika ya taifa moja tu lenye same time zone, Israel.
 
Mleta mada ni wa kusamehe tu Maana hata hajui Tarehe 25 December Huwa ni nini???
Sio tu hajui tarehe 25 Bali ni mpagani hamjui Mungu siku zote ni za Mungu aliyeumba mbingu na nchi na kuweka nyakati.siku ziliumba na Mungu sio Mungu jua au kaisari. Hakuna siku unayoweza sema siku hii ni Ya pepo mungu jua au Mungu kenge. Vyote viujazavyo ulimwengu zikiwemo siku zote ziwe tarehe 25 December au jumapili au siku yoyote ya juma ni Mali ya Mungu. Kuitangaza siku au tarehe fulani ni mali sijui ya mungu koko gani ni upagani tena wa hali Ya juu. Tarehe zote na siku zote ni mali ya Mungu aliyeumba mbingu na nchi Kama kuna Kibaka alijitangazia ni tarehe yake au siku yake Na miungu yake tamko hilo halitambuliwi ni feki na halitakiwi kutiliwa maanani ukiona mtu analitilia maanani ujue huyo ni mpagani tu hata Kama anabeba biblia
 
Back
Top Bottom