Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

[QUOTargumentxShimba, post: 1389239, member: 10147"]
Very poor question. When was this calendar started? Why is this year 2010?

Kama wewe ni wale wafuasi wa Allah kiumbe,

Je, Issa bin Mariam aliye ndani ya kolani, na kutokana na Kolani ya Allah wa Isilamu, huyu Issa bin Mariam alizaliwa tarehe gani? Naomba aya kutoka Kolani yenu.
[/QUOTE]
Poor urgument, unaacha kujibu swali, unatafuta excuse
 
Kama wenzetu wana kumbukumbu za miaka ya kuzaliwa YESU KRISTO, aliyezaliwa miaka 2000 iliyopita lakini sisi hakuna anayejua hata jina la babu yake aliyezaliwa miaka 300 iliyopita, kwa nini tusiwapongeze badala ya kuwadhihaki
Walioko maofisi kwa sasa ambao wanaeekea kustaafu hawajui tarehe zao za kuzaliwa kwa sababu wazazi wao hawakuweka kumbukumbu. Miaka iliyoko kwenye mafaili yao ni ya kuapa mahakamani.
Kwa nini tuanze kuwahoji wenzetu ambao wamestaarabika sana na kusahau uduni wetu.
Nyani haoni kundule.
Tumeletewa Dini na Dini zimetufanya tustaarabike.
Mimi niweza kujua tarehe ya kuzaliwa kutokana na cheti za ubatizo cha mwaka 1955.
Je kama si kubatizwa ni nani angehangaika kuandika mwaka wangu wa kuzaliwa?
 
Very poor question. When was this calendar started? Why is this year 2010?

Kama wewe ni wale wafuasi wa Allah kiumbe,

Je, Issa bin Mariam aliye ndani ya kolani, na kutokana na Kolani ya Allah wa Isilamu, huyu Issa bin Mariam alizaliwa tarehe gani? Naomba aya kutoka Kolani yenu.
Yaan mkristo mwenzio anakuuliza swali unakimbilia kutukana uislamu??huo ni upuuzi ama kutokujielewa??
 
Kama wenzetu wana kumbukumbu za miaka ya kuzaliwa YESU KRISTO, aliyezaliwa miaka 2000 iliyopita lakini sisi hakuna anayejua hata jina la babu yake aliyezaliwa miaka 300 iliyopita, kwa nini tusiwapongeze badala ya kuwadhihaki
Walioko maofisi kwa sasa ambao wanaeekea kustaafu hawajui tarehe zao za kuzaliwa kwa sababu wazazi wao hawakuweka kumbukumbu. Miaka iliyoko kwenye mafaili yao ni ya kuapa mahakamani.
Kwa nini tuanze kuwahoji wenzetu ambao wamestaarabika sana na kusahau uduni wetu.
Nyani haoni kundule.
Tumeletewa Dini na Dini zimetufanya tustaarabike.
Mimi niweza kujua tarehe ya kuzaliwa kutokana na cheti za ubatizo cha mwaka 1955.
Je kama si kubatizwa ni nani angehangaika kuandika mwaka wangu wa kuzaliwa?

Ikiwa hao walioandika biblia wanasema Yesu hakuwepo katika historia sasa wewe unayewasifu watu waliokupiga changa la macho tukuitaje??

ni lini papa ameandika kitu kinaitwa sijui BARUA kwenda kanisa katoliki bugando na ni papa nani huyo aliyeandika kitu kinaitwa BARUA. kwenda kanisa katoliki bugando

na hilo kanisa katoliki bugando linapatikana sayari gani mkuu ?

"usijibebeshe mizigo usioweza kuibeba" - andika unachojua na unachoweza inatosha tutakuelewa.
"Can you learn to save your soul just by reading the Bible? No...because the Bible does not have everything God taught."
'' Je unaweza kujifunza kuokoa nafsi yakonkwa kusoma bibilia tu ? ... HAPANA kwa sababu bibilia haina kila kitu Mungu alichofundisha (A Catechism for Adults, Q. 1, p. 52).

Wakatoliki hamuamini Bibilia kwa kauli hiyo, hivyo ninapokuhoji kwa mnavyoamini na wewe kunipiga chenga ninashawishika kuamini mjadala umekushinda.
Kuhusu SDA nimeshamaliza tunachoamini kipo milele wala chanzo chake sio 1844, Karibu SDA mkuu achana na hao wanaoyadogosha maandiko ili church creeds na matamko ya kikanisa ili mapokeo ya kibinadamu yapate uchochoro wa kuaminiwa.
Hizi ni siku za Mwisho, fanya uchaguzi sahihi wa maisha yako. Imekupasa Kumtii Mungu kuliko wakuu wako.
 
ni lini papa ameandika kitu kinaitwa sijui BARUA kwenda kanisa katoliki bugando na ni papa nani huyo aliyeandika kitu kinaitwa BARUA. kwenda kanisa katoliki bugando

na hilo kanisa katoliki bugando linapatikana sayari gani mkuu ?

"usijibebeshe mizigo usioweza kuibeba" - andika unachojua na unachoweza inatosha tutakuelewa.
unazidi kuniangusha mkuu wangu.
kama mnaaminishana kuwa kuna succession ya mitume na papa anakalia kiti alichopewa Petro (stori za uongo).
hivyo Papa na Yeye ni mtume mwenye hadhi sawa na Paulo. Hivyo kama paulo aliandika barua kwa kanisa la efeso mfano ni unafiki pia kukataa mtume huyu wa siku za mwisho za udanganyifu kusema hawezi kuwaandikia barua waumini wa kanisa la Bugando au kristo mfalme hapo mitaa yetu Tbt.
Kama mnaliita kwa ID nyingine za kikanisa ila lipo kanisa hapo sahara kwa juu, nimewahi kufika, na huwa tunapita tukienda hospital Bugando.

Vinginevyo useme pia labda Yule hadhi yake iko juu, kuliko hata Yesu na mitume wake maana, Maana hawakuwa na sura ya kiutawala aliyonayo na haikuwahi kuwepo duniani hadi askofu wa rumi alipojikwapulia kwa Nguvu akipewa nguvu na serikali ya kimabavu ya dola la kirumi. Licha ya Mateso lkn makao makuu ya kanisa la Kweli la Yesu yalikuwa Yerusalem kwa Mujibu wa Bibilia.Na ndivyo walivyofanya hata wakina paulo walipohitilafiana kanisa la antiokia walirudi Yerusalem, Tena Baadaye kila akitoka kwenye safari zake zote za Utume duniani Ripoti alizipelekea makao makuu Yerusalem Yakobo akiwa ndiye incharge sio hata Petro. Kwanza Huko Rumi na Vatican Petro anapaita Babeli kwenye nyaraka zake. Na Babeli kwa Mujibunwa Ufunuo 14 na 18 ndiko uasi wa kidini na machafuko ya kiroho yataanzia.
Ila kwa sababu Huamini Bibilia Pekee, Mapokeo na matamko ya wazee yamewafanya mitume wako kuwa Rulers, Wakati Bibilia inatufundisha hakukuwahi kuwepo na kitu kama hicho cha ukuu wa kipapa kwenye Bibilia.

Uko sahihi kwa msingi wa imani yako yaani Bibilia, Mapokeo na kauli za kanisa.
Na Mimi niko sahihi kwa Mujibu wa Bibilia tu
hata kama tukikubaliana kutokukubaliana unaona tunapotengania kama maji na mafuta.
 
Otorong'ong'o
asante kwa kutoa michango na picha zako.
Kanuni kuu ya Wasabato SDA ni Bibilia.
Kazi yao Kubwa ni Kuwaita wote dunia nzima bila kujali ni Muislam, mkatoliki, budha mlokole au msabato mwenzao aliyejisahau
Kujitenga na mifumo Yote ya kiibada potofu kumuelekea Mungu wa Mbinguni aliyeumba Dunia kwa siku sita, na Ya Sabata (definite day) akapumzika, na Kuwaandaa kumpokea masihi huku wakiwa chonjo muda wote ili hata umauti ukiwakuta kabla hajaja walale kwa Busara ili akija kuwaamsha siku ajapo wawe kama wale wanawali watano wenye hekima.

Kuhusu ibada za kikrismasi na easter, hata kama zikifanywa na yoyote mwenye hadhi yoyote kwenye usabato ni Upagani uleule unaopaswa kukemewa mchana kweupe bila kupepesa majicho.
Hata Huyo EGW unayempenda Akikosea anapaswa kutubu vinginevyo na Yeye anatishia motoni. Hakuna mtu aliye juu ya Bibilia katika Usabato.
Kama Mungu alimuua nabii wake aliyekiuka agizo dogo tu la Kula njiani, akaliwa na simba hata ona haya kuteketeza wote watakaopuuzia maagizo yake.

'' Rafiki Zangu ni wale wanaofuata kile ninachokiamuru'' Yesu.

Vingine vyote ulivyoandika havisaidii kama utaendelea kukumbatia sherehe za kipagani kwa mgongo wa Jina la Yesu.

Mungu wa Mbinguni aliyeumba mbingu na nchi kwa Siku sita na Ya saba akapumzika, Na Mwana wake Yesu ambaye pasipo yeye hakuna ambacho kingefanyika kwa siku hizo sita Akubariki mkuu sana.
 
Otorong'ong'o
asante kwa kutoa michango na picha zako.
Kanuni kuu ya Wasabato SDA ni Bibilia.
Kazi yao Kubwa ni Kuwaita wote dunia nzima bila kujali ni Muislam, mkatoliki, budha mlokole au msabato mwenzao aliyejisahau
Kujitenga na mifumo Yote ya kiibada potofu kumuelekea Mungu wa Mbinguni aliyeumba Dunia kwa siku sita, na Ya Sabata (definite day) akapumzika, na Kuwaandaa kumpokea masihi huku wakiwa chonjo muda wote ili hata umauti ukiwakuta kabla hajaja walale kwa Busara ili akija kuwaamsha siku ajapo wawe kama wale wanawali watano wenye hekima.

Kuhusu nibada za kikrismasi na easter, hata kama zikifanywa na yoyote mwenye hadhi yoyote kwenye usabato ni Upagani uleule unaopaswa kukemewa mchana kweupe bila kupepesa majicho.
Hata Huyo EGW unayempenda Akikosea anapaswa kutubu vinginevyo na Yeye anatishia motoni. Hakuna mtu aliye juu ya Bibilia katika Usabato.
Kama Mungu alimuua nabii wake aliyekiuka agizo dogo tu la Kula njiani, akaliwa na simba hata ona haya kuteketeza wote watakaopuuzia maagizo yake.

'' Rafiki Zangu ni wale wanaofuata kile ninachokiamuru'' Yesu.

Vingine vyote ulivyoandika havisaidii kama utaendelea kukumbatia sherehe za kipagani kwa mgongo wa Jina la Yesu.

Unaonekana Usabato umekukolea sana mkaka. Yaani ukiwa mfia dini, huna tofauti na kipofu.
 
Ndio maana nimem-quote yeye..

Wewe kiherehere cha nini...???

Au unataka nikuletee jinsi falme za Kiarabu zinavyoshetekea siku hii muhimu ya Xmas...?
Mletee na ile clip Papa yuko msikitini damascus akiabudu ile shrine yenye fuvu la kichwa cha Yahya ( anayesadikiwa kuwa Yohana mbatizaji).
Msikiti wa Ommayad ilikuwa mwaka 2001. Mwisho wa siku dini zote unazoziona sitajisalimisha hapo vatican mkuu direct au indirect. Ila haitakuwa jambo jipya maana Bibilia imekwisha kutuonya mbele juu ya matukio yanayoijia duniani hivi punde, na Wasabato na hata watu wa kawaida duniani wanaonya kila kukicha, ndio maana mjadala unapaswa kuwa '' Hivi ndivyo asemavyo Bwana'' vs '' Hivi ndivyo lisemavyo kanisa, papa, au mapokeo yaliyotakatifishwa, sayansi, wataalam flani maarufu, kiongozi flani mwenye hekima''.
 
kama 25 dec kufungamanishwa na mazazi ya yesu ni kosa kwanini wewe hutaki kutuambia alizaliwa lini mkuu ?
Ni kosa kwasababu hakuna popote kwenye maandiko juu ya tarehe hiyo hivyo ni uzushi, kuhusu kuzaliwa lini? kama kitu hakija andikwa unapaswa utosheki na hilo, hakuna haja ya kutengeneza tarehe yako ilo jambo la tarehe lingekuwa ni muhimu lingeandikwa lakini kwa vile alijaandikwa hiyo tarehe itabaki kuwa ni yenye kuzushwa(uzushi)
 
Subiri Trh 25 Dec uone watu watakavyo Furahi! Hata Christ-mass ni Utamaduni wetu Wakristo [emoji106] [emoji123] nakushangaa wewe unaetaka Andiko ktk mambo ya Utamaduni [emoji15] [emoji12] unawaka nini wakati tunadai Andiko wapi baba fatuuû katahiriwa NYAMA ya govi lake [emoji351] [emoji351] [emoji348] [emoji348] kwani Hujui Andiko linaua [emoji117] View attachment 959955 unatembea lakini Kiroho wewe ni marehemu mashudu [emoji24] [emoji24]
Haya ndio matatizo ya kukurupuka ,tamaduni za WAKRISTO zinapaswa ziendane na kristo sio vinginevyo, sasa wapi alipokufundisha Yesu juu ya tarehe 25/December ? basi kama umekosa ebu tuonyeshe angalau kwa wale wanafunzi wake 12?
 
Andiko Umepewa sisi Wakristo Mungu wetu katupa Ufunguo [emoji123] [emoji106] unacho taka wewe mashudu Biblia Takatifu iandikwe utakavyo wewe [emoji15] [emoji12]
Ufunguo alianza kupewa Petro ebu tuonyeshe wapi alishiriki hilo jambo? ukikosa hapo haya twende kwa wale 11 waliobaki vip Yupo?
 
Sijui nihame dini. Naona aibu kweli.

Isaiah 7:20

MUNGU ATANYOA NDEVU NA MALAIKA WA MIGUU KUWEKA NYORORO NGOZI YAKE, HATA WEMBE HANA ATAKODI /ATAAZIMA

1544333691748.png
 
Mletee na ile clip Papa yuko msikitini damascus akiabudu ile shrine yenye fuvu la kichwa cha Yahya ( anayesadikiwa kuwa Yohana mbatizaji).
Msikiti wa Ommayad ilikuwa mwaka 2001. Mwisho wa siku dini zote unazoziona sitajisalimisha hapo vatican mkuu direct au indirect. Ila haitakuwa jambo jipya maana Bibilia imekwisha kutuonya mbele juu ya matukio yanayoijia duniani hivi punde, na Wasabato na hata watu wa kawaida duniani wanaonya kila kukicha, ndio maana mjadala unapaswa kuwa '' Hivi ndivyo asemavyo Bwana'' vs '' Hivi ndivyo lisemavyo kanisa, papa, au mapokeo yaliyotakatifishwa, sayansi, wataalam flani maarufu, kiongozi flani mwenye hekima''.

Biblia ipi hiyo iliyokuonya ??? King James version , Queen James version, NIV, RSV, Douay au maelfu ya biblia tofauti ??
 
Back
Top Bottom