Desemba twapanda ngazi ya pili. Mje mtuue tena sawa nye immortal

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,032
Hehee! Mwajiona mashujaa kuua watu wasio na silaha hee! Mabingwa hao wa kuua ndugu zetu. Walahi msifikiri waliwaogopa wakipata silaha mtajua hamjui. Mwajiuliza watapata wapi sio. Heee! Viwanda viko peponi sio. Hehee! Mlianza wenyewe. Desemba haichekeshi. Hizo silaha mwaziamini mtageuziana. Niko nakaa pale Kwa benchi. Mmeshagawanyika na bado. Mwafikiri wote wauaji hehee! Mtajionea walahi. Na bado
 
Potelea pote! Hata wakiniua, Samia kwa umri wake naye hana miaka mingi hapa duniani.
 
Anajifanyisha tu, Comment zake kabla hajawa chawa mbona alikua na straight language tu
Huyu jamaa nadhani dishi limeyumba anajiandikia nyuzi hovyo zisizoeleweka na kubadika badilika kuendea na upepo
 
Hehee! Mwajiona mashujaa kuua watu wasio na silaha hee! Mabingwa hao wa kuua ndugu zetu. Walahi msifikiri waliwaogopa wakipata silaha mtajua hamjui. Mwajiuliza watapata wapi sio. Heee! Viwanda viko peponi sio. Hehee! Mlianza wenyewe. Desemba haichekeshi. Hizo silaha mwaziamini mtageuziana. Niko nakaa pale Kwa benchi. Mmeshagawanyika na bado. Mwafikiri wote wauaji hehee! Mtajionea walahi. Na bado
Kwani huko zenji mrojo sikuizi unalewesha,mbona hueleweki upo upande gani?

Punguza kulewa usije dharirika mbele ya wakwe.
 
Ni kete tuu kwa vibaka magazini 4 dondosha 120 uporaji wa 29/10 hautajirudia tenaa mtakufa sana safari hii 1m
 
Hehee! Mwajiona mashujaa kuua watu wasio na silaha hee! Mabingwa hao wa kuua ndugu zetu. Walahi msifikiri waliwaogopa wakipata silaha mtajua hamjui. Mwajiuliza watapata wapi sio. Heee! Viwanda viko peponi sio. Hehee! Mlianza wenyewe. Desemba haichekeshi. Hizo silaha mwaziamini mtageuziana. Niko nakaa pale Kwa benchi. Mmeshagawanyika na bado. Mwafikiri wote wauaji hehee! Mtajionea walahi. Na bado
Hakika wewe SIO wa kupuuzwa. Una kitu. Inawezekanaje poti akampe soja oda?
 
Back
Top Bottom