October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Mkuu wewe ni Mtanga au Mzanzibari? Hii lafudhi yako imekaa kimkakati ππ
YEah ..Anajifanyisha tu, Comment zake kabla hajawa chawa mbona alikua na straight language tu
Huyu jamaa nadhani dishi limeyumba anajiandikia nyuzi hovyo zisizoeleweka na kubadika badilika kuendea na upepoAnajifanyisha tu, Comment zake kabla hajawa chawa mbona alikua na straight language tu
Hiyo ni code Anaishi ki mastaπππMkuu wewe ni Mtanga au Mzanzibari? Hii lafudhi yako imekaa kimkakati ππ
Nimebaki mdomo wazi πππHiyo ni code Anaishi ki mastaπππ
Kwani huko zenji mrojo sikuizi unalewesha,mbona hueleweki upo upande gani?Hehee! Mwajiona mashujaa kuua watu wasio na silaha hee! Mabingwa hao wa kuua ndugu zetu. Walahi msifikiri waliwaogopa wakipata silaha mtajua hamjui. Mwajiuliza watapata wapi sio. Heee! Viwanda viko peponi sio. Hehee! Mlianza wenyewe. Desemba haichekeshi. Hizo silaha mwaziamini mtageuziana. Niko nakaa pale Kwa benchi. Mmeshagawanyika na bado. Mwafikiri wote wauaji hehee! Mtajionea walahi. Na bado
Hakika wewe SIO wa kupuuzwa. Una kitu. Inawezekanaje poti akampe soja oda?Hehee! Mwajiona mashujaa kuua watu wasio na silaha hee! Mabingwa hao wa kuua ndugu zetu. Walahi msifikiri waliwaogopa wakipata silaha mtajua hamjui. Mwajiuliza watapata wapi sio. Heee! Viwanda viko peponi sio. Hehee! Mlianza wenyewe. Desemba haichekeshi. Hizo silaha mwaziamini mtageuziana. Niko nakaa pale Kwa benchi. Mmeshagawanyika na bado. Mwafikiri wote wauaji hehee! Mtajionea walahi. Na bado
Mdomo wazi kama kibwenyeNimebaki mdomo wazi πππ
Daahh πππHiyo ni code Anaishi ki mastaπππ