DESIGN: Biashara ya Lodge Vyumba 16... Mapato Zaidi ya 70Mil/Mwaka

DESIGN: Biashara ya Lodge Vyumba 16... Mapato Zaidi ya 70Mil/Mwaka

Msingi: Sh 23,793,204
Ukuta: Sh 16,390,445
Zege: Sh 11,597,012
Paa: Sh 31,157,307
Madirisha: Sh 22,420,891
Milango: Sh 20,352,757
Sakafu: Sh 14,187,012
Dari: Sh 10,070,072
Rangi: Sh 9,780,147
Maji taka: Sh 11,519,700
Mabomba: Sh 11,210,445
Umeme: Sh 7,016,193
Mengineyo: Sh 2,280,746
Jumla ni Tsh...., ngapi kwa vyumba 16?
 
Hapo bado Bei ya kiwanja, vitanda,magodoro,net, mashuka, mablaket, Taulo,vifaa vya kufanya usafi, fans, meza, viti, A/C, TV, nilivyo vitaja ni mara idadi ya vyumba,isipokuwa kiwanja.

Kwa kifupi hii,ni biashara,kichaa!
Umeover+ estimate cost sana,utadhania unajenga ghorofa!😳😳
 
Good design, mpangilio mzuri sana ila kwenye mapato hapo weka maximum ya 35M kwa mwaka ambayo sio mbaya.... Naijua hii biashara Ina changamoto sana labda upate eneo dar huko kwenye watu wengi ambapo kujaza ni kawaida sana

Kuna mikoa ipo siku muhudumu analala mwenyewe
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom